Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
DAAH AISEEE😆 NA KWENYE BAHATI AU PROBABILITY UNAAMINI?Wale ni wahuni tu.
DAAH AISEEE😆 NA KWENYE BAHATI AU PROBABILITY UNAAMINI?Wale ni wahuni tu.
Wala siamini.DAAH AISEEE😆 NA KWENYE BAHATI AU PROBABILITY UNAAMINI?
So wewe unaishije sasa?Wala siamini.
Bahati ni nini?So wewe unaishije sasa?
Sawa sawaBahati ni nini?
Probability ni nini?
Hivyo vitu vipo ila siviamini bali navijua.Sawa sawa
Prob ni uwezekano wa jambo kutokea liwe zuri au baya
Bahati ni ile hali au jambo linalokujia faster bila kutarajia na mara nyingi likainfluence +
Umevijuaje na vipo wapi kama huamini vipo maana havionekaniHivyo vitu vipo ila siviamini bali navijua.
Navijua kwa sababu vimeshanitokea na vinaendelea kutokea kwangu na Kwa wengine.Umevijuaje na vipo wapi kama huamini vipo maana havionekani
Pamoja sana mkuu 🔥🔥 ngoja nikafanye mengineNavijua kwa sababu vimeshanitokea na vinaendelea kutokea kwangu na Kwa wengine.
Nguvu moja 👊.Pamoja sana mkuu 🔥🔥 ngoja nikafanye mengine
Hivi mdogo wangu mjusi alishapataga kazi au maana simuoni sikuhizi😅Mi namwita demu wangu mbele ya wazazi wake. Siku nikichafukwa namwita 'mdinywa wangu' na hamna wa kuniambia kitu.
Mimi ni Mimi bhana!
Nijue vipi na wewe ndio umeleta mada ambayo haujatoa taarifa za kutoshelezaUnajuaje labda nilikuwa naongeanaye na cm ? Akamtaja hivo
Kwanini niyaingilie maisha ya dada na mme wake?Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
Kwani alikuwa anatafuta kazi?Hivi mdogo wangu mjusi alishapataga kazi au maana simuoni sikuhizi😅
Si wanasaga ukikaa sana jf maana yake hunaga kazi au😁Kwani alikuwa anatafuta kazi?
Dame not DermDerm ni neno la kiingeleza lenye maana ya mwanamke.
Hujamis jihogo langu?🤔Watajijua wenyewe aisee