Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
so hutaki dada yako anyumbuliwe na shemeji yako?Nawaroga waachane
hama basi kutoka kwa shemeji yako kapangishe chumba chako mtaani? 🐒
so hutaki dada yako anyumbuliwe na shemeji yako?Nawaroga waachane
Si inajua kwa shemeji silipi bili kila kitu kitonga nawaza sana nikihama kitaa kugumu bora nivumilieso hutaki dada yako anyumbuliwe na shemeji yako?
hama basi kutoka kwa shemeji yako kapangishe chumba chako mtaani? 🐒
Umekosa pesa.Na chengine dada yako ndio tatizo mpaka kufikia kuitwa mbele yenuShemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
hapo sawa,Si inajua kwa shemeji silipi bili kila kitu kitonga nawaza sana nikihama kitaa kugumu bora nivumilie
Hahaha 😂😂😂😂🤣🤣 🔊📻🎵🎶🎼😁😅🎙️🔨.Mtoa mada anachekesha kama hatoki kwenu
Vipi, nasikia naye wahuni walimdinya akiwa gerezani....si alikuwa mweupe bhana!Breaking News:-
Baltazar Egonga hatimae aachiwa huru leo baada ya kukaa jela kwa miaka miwili
Nipe michongo na mimi nitoboe kama ww niwe na pesaUmekosa pesa.Na chengine dada yako ndio tatizo mpaka kufikia kuitwa mbele yenu
Unaweza kwenda mbele ya wakwe ukamzungumzia Mchumba au mke kwa kusema huyu demu je ni maadili lakini tukiwa sisi wenyewe masela ni sawa kusema hivo ila sio mbele ya wakwe U mashemejiHahaha 😂😂😂😂🤣🤣 🔊📻🎵🎶🎼😁😅🎙️🔨.
Oyaaaa oyaaHahaha 😂😂😂😂🤣🤣 🔊📻🎵🎶🎼😁😅🎙️🔨.
Hata mimi nasemaga demu ila siwezi kusema ukweni au kwa mashemeji hio haijakaa poaNi demu wake ndio, kwani uongoo?
Dam is a female animal
Haijakaa sawa kwa mindset yako wewe ila kwake yeye anaona sawa na ndo maana akasema hivoHata mimi nasemaga demu ila siwezi kusema ukweni au kwa mashemeji hio haijakaa poa
Mi namwita demu wangu mbele ya wazazi wake. Siku nikichafukwa namwita 'mdinywa wangu' na hamna wa kuniambia kitu.Unaweza kwenda mbele ya wakwe ukamzungumzia Mchumba au mke kwa kusema huyu demu je ni maadili lakini tukiwa sisi wenyewe masela ni sawa kusema hivo ila sio mbele ya wakwe U mashemeji
Mkuu mapenzi yao hayakuhusuShemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
Niaje mastaa!Oyaaaa oyaa
Nipe mtazamo wako ww je ni sawa mfano mimi ni shemeji yako nakwambia huyu demu sikuhizi sijui yukoje namsema dada yakoHaijakaa sawa kwa mindset yako wewe ila kwake yeye anaona sawa na ndo maana akasema hivo
Kama kawaida inakuajeNiaje mastaa!
ME SIWEZI KUCHUKIA COZ NI DEMU (Meaning mwanamke)Nipe mtazamo wako ww je ni sawa mfano mimi ni shemeji yako nakwambia huyu demu sikuhizi sijui yukoje namsema dada yako
Yananihusu ndomaana nashirikishwa wakigombanaMkuu mapenzi yao hayakuhusu