Utajisikiaje zawadi aliyokupa mpenzi wako inafanana na ya mchepuko wake?

Utajisikiaje zawadi aliyokupa mpenzi wako inafanana na ya mchepuko wake?

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
FB_IMG_16466380356235963.jpg

Pale mpenzi wako anakuletea zawadi iwe ya gari, nyumba, saa, boxer, mkoba, au kitenge n.k

Ghafla ukashona kitenge kile tena akakudizainia mshono kuwa ndo anoupenda jumapili moja mkatoka out nae wakati mpo matembezi kuna shost anamjua mchepko wa mpenzi wako na aliwahi kumwona kapost pc whatsapp hivohivo hadi mshono ni sare,

Huyo shost anaamua akutumie pc whatsapp ukicheki ni kweli ukimuuliza anakwambia ni first lover so be cool.

Vivo hivo iwe saa, bag, nyumba, gari, shirt n.k

Utafanyaje au utajisikiaje ukiwa wewe kama mke au mume wa ndoa.

FB_IMG_16460482179490758.jpg
 
Eti first love so be cool...fyefyefyee!!...sijajua nitafanya Nini kwakweli
 
Back
Top Bottom