Utajisikiaje zawadi aliyokupa mpenzi wako inafanana na ya mchepuko wake?

Utajisikiaje zawadi aliyokupa mpenzi wako inafanana na ya mchepuko wake?

Ntaona kama wote tunapendwa,hivo tu yani
Kikubwa ni kula kwa nafasi yangu
Wa kumlaumu ni shosti yangu,sio vizuri kuingiza ushosti kwenye mapenzi,
 
Mimi hutoa zawadi zinazofanana kwa karibia mademu zangu wote, na ni kama code fulani…. watajua wenyewe.
 
Back
Top Bottom