Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Oh you can. Ila ina require muda na extreme focus kugundua hilo. Prentenders wana patterns fulani.. you cant pretend forever. Hiyo fake side huwa ina sleep after certain time.Watu ni mapretender pro max . You can’t know this shit .
NdiooNI NGUMU MNOO KUIJUA DHAMIRA YA MTU HATA KAMA MATENDO YAKE NI MAKUBWA KWAKO.
DHAMIRA HAIONWI. INAOMBEWA TU KUA IWE YA "DHATI".
Ulishwahi igiziwa?? Mpaka ukajiona wee ndo mwanamke pekee, but baada ya kuliwa, Jamaa akasepa?????.
Yan we inaonekana mda wote unawaza mapenz tu hata kaz hufanyiHabari za ijumapili ?
Naombeni ushauri je utajuaje huyu mwanaume sio mapepe ni kakupenda kimaukweli??
Mwanaume akikupenda anaku chase! Atataka kujua status yako throughout the day pia ataku treat vizuri in a speciality manner!Habari za ijumapili ?
Naombeni ushauri je utajuaje huyu mwanaume sio mapepe ni kakupenda kimaukweli??
😹😹😹😹NI NGUMU MNOO KUIJUA DHAMIRA YA MTU HATA KAMA MATENDO YAKE NI MAKUBWA KWAKO.
DHAMIRA HAIONWI. INAOMBEWA TU KUA IWE YA "DHATI".
Ulishwahi igiziwa?? Mpaka ukajiona wee ndo mwanamke pekee, but baada ya kuliwa, Jamaa akasepa?????.
Basi hapo unajiona boonge la mwamba!Kuna Pisi kali moja ya kisabato nilimtamani kinoma ila sasa ni mfia dini kinoma
Nilianza kuenda kanisani anaposali kila jumamosi na nikaweka urafiki naye mkubwa sana plus na kufundishana vifungu vya Biblia and then nikatupia nyavu zangu na kufanikiwa kumpata ila sasa hataki sex mpk ndoa, nikasema poa sio shida kumbe anatafutiwa ramani.
Nilimpa kila kitu anachoomba bila hata kulazimisha sex, na akahisi kabisa huyu ndio mwanaume wa ndoto zake na akalegeza kamba na kuliwa Mbususu mara tatu na nikakuta yaliyomo hayamo
Hakuamini na mpk sasa hawezi kuamini kilichotokea ktk maisha yake ya mapenzi
Unaudhahifu mkubwa sana blaza Ask Why???Kuna Pisi kali moja ya kisabato nilimtamani kinoma ila sasa ni mfia dini kinoma
Nilianza kuenda kanisani anaposali kila jumamosi na nikaweka urafiki naye mkubwa sana plus na kufundishana vifungu vya Biblia and then nikatupia nyavu zangu na kufanikiwa kumpata ila sasa hataki sex mpk ndoa, nikasema poa sio shida kumbe anatafutiwa ramani.
Nilimpa kila kitu anachoomba bila hata kulazimisha sex, na akahisi kabisa huyu ndio mwanaume wa ndoto zake na akalegeza kamba na kuliwa Mbususu mara tatu na nikakuta yaliyomo hayamo
Hakuamini na mpk sasa hawezi kuamini kilichotokea ktk maisha yake ya mapenzi
Ninajijua nina madhaifu mengi tu, labda huu wa kwako ulioutambua kwangu utakuwa ni mpyaUnaudhahifu mkubwa sana blaza Ask Why???
Sio mwamba ila ni udhaifu tu nilionao hasa nikidate na mwanamke kwa muda mfupi na nikaachana nayeBasi hapo unajiona boonge la mwamba!
Ukweli mtupu .1. Ukiona anaanza kukutambulisha kwa watu wake wa karibu kama rafiki zake, ndugu hata mzazi.
2. Ukienda kwake anakupa uhuru, unaweza kwenda kwake muda wowote na asikuulize kwanini haujamjulisha
3. Haombi papuchi hata akikupa hela. Sehemu za kukutana zikiwa ni kwake au kwako
4. Anakuelezea mipango yake hasa ya kiuchumi au hata mtu akimuuzi atakuambia
5. Akiwa anazungumzia masuala ya ndoa (kuoana). Muishi pamojq mjenge familia.
Ukiona kila mnapokutana anazungumzia sexy, ujue wewe ni wa mazoezi
Huwa tunatafuta mwanamke wa mazoezi na huyu huwa ni yoyote wa kupunguzia nyegezi.
Umeshachelewa sahivi hizo ndiombinu tunazotumia kuwadanganya1. Ukiona anaanza kukutambulisha kwa watu wake wa karibu kama rafiki zake, ndugu hata mzazi.
2. Ukienda kwake anakupa uhuru, unaweza kwenda kwake muda wowote na asikuulize kwanini haujamjulisha
3. Haombi papuchi hata akikupa hela. Sehemu za kukutana zikiwa ni kwake au kwako
4. Anakuelezea mipango yake hasa ya kiuchumi au hata mtu akimuuzi atakuambia
5. Akiwa anazungumzia masuala ya ndoa (kuoana). Muishi pamojq mjenge familia.
Ukiona kila mnapokutana anazungumzia sexy, ujue wewe ni wa mazoezi
Huwa tunatafuta mwanamke wa mazoezi na huyu huwa ni yoyote wa kupunguzia nyegezi.
Hvi waleo wakeshoo ni yupi mimi nimechokagaUmeshachelewa sahivi hizo ndiombinu tunazotumia kuwadanganya
Yeah absolutelyMnyime papuchi miezi sita utesti zali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulipatwa na nn?Hivi ni kwanini? Yan nikikumbuka kisa flani nacheka kwa masikitiko [emoji1787][emoji1787]
Wanaume nahisi Mungu aliwaumba Juma3.
Anajiona bahaaaaria..mnh...?!Basi hapo unajiona boonge la mwamba!
Nimeipenda ☝️👌👌👌🤝🤝🤝1. Ukiona anaanza kukutambulisha kwa watu wake wa karibu kama rafiki zake, ndugu hata mzazi.