Utajuaje huyu mwanaume kakupenda?

Utajuaje huyu mwanaume kakupenda?

Watu ni mapretender pro max . You can’t know this shit .
Oh you can. Ila ina require muda na extreme focus kugundua hilo. Prentenders wana patterns fulani.. you cant pretend forever. Hiyo fake side huwa ina sleep after certain time.

Shida ya watu wengi wakiwa deeply in love they dont pay attention matendo ya wenzi wao. Hapa ndipo prentenders wanapenyea.
 
Kuna Pisi kali moja ya kisabato nilimtamani kinoma ila sasa ni mfia dini kinoma

Nilianza kuenda kanisani anaposali kila jumamosi na nikaweka urafiki naye mkubwa sana plus na kufundishana vifungu vya Biblia and then nikatupia nyavu zangu na kufanikiwa kumpata ila sasa hataki sex mpk ndoa, nikasema poa sio shida kumbe anatafutiwa ramani.

Nilimpa kila kitu anachoomba bila hata kulazimisha sex, na akahisi kabisa huyu ndio mwanaume wa ndoto zake na akalegeza kamba na kuliwa Mbususu mara tatu na nikakuta yaliyomo hayamo

Hakuamini na mpk sasa hawezi kuamini kilichotokea ktk maisha yake ya mapenzi
 
Habari za ijumapili ?
Naombeni ushauri je utajuaje huyu mwanaume sio mapepe ni kakupenda kimaukweli??
Yan we inaonekana mda wote unawaza mapenz tu hata kaz hufanyi
Enewei ndo kawaida yenu wanawake mkifika 30+ alaf hujaolewa mnakuwa desperate sana na ndoa hvyo mda wote mnakuwa mnawaza mapenz tu
 
NI NGUMU MNOO KUIJUA DHAMIRA YA MTU HATA KAMA MATENDO YAKE NI MAKUBWA KWAKO.

DHAMIRA HAIONWI. INAOMBEWA TU KUA IWE YA "DHATI".

Ulishwahi igiziwa?? Mpaka ukajiona wee ndo mwanamke pekee, but baada ya kuliwa, Jamaa akasepa?????.
😹😹😹😹
 
Kuna Pisi kali moja ya kisabato nilimtamani kinoma ila sasa ni mfia dini kinoma

Nilianza kuenda kanisani anaposali kila jumamosi na nikaweka urafiki naye mkubwa sana plus na kufundishana vifungu vya Biblia and then nikatupia nyavu zangu na kufanikiwa kumpata ila sasa hataki sex mpk ndoa, nikasema poa sio shida kumbe anatafutiwa ramani.

Nilimpa kila kitu anachoomba bila hata kulazimisha sex, na akahisi kabisa huyu ndio mwanaume wa ndoto zake na akalegeza kamba na kuliwa Mbususu mara tatu na nikakuta yaliyomo hayamo

Hakuamini na mpk sasa hawezi kuamini kilichotokea ktk maisha yake ya mapenzi
Basi hapo unajiona boonge la mwamba!
 
WANAUME WOTE wangekua na vitu vyote vya kufanana hapo tungekusaidia SASA wako tofauti unaweza kuta anakujali kumbe anakuigizia tu siku YAKO moja utalia kizigua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna Pisi kali moja ya kisabato nilimtamani kinoma ila sasa ni mfia dini kinoma

Nilianza kuenda kanisani anaposali kila jumamosi na nikaweka urafiki naye mkubwa sana plus na kufundishana vifungu vya Biblia and then nikatupia nyavu zangu na kufanikiwa kumpata ila sasa hataki sex mpk ndoa, nikasema poa sio shida kumbe anatafutiwa ramani.

Nilimpa kila kitu anachoomba bila hata kulazimisha sex, na akahisi kabisa huyu ndio mwanaume wa ndoto zake na akalegeza kamba na kuliwa Mbususu mara tatu na nikakuta yaliyomo hayamo

Hakuamini na mpk sasa hawezi kuamini kilichotokea ktk maisha yake ya mapenzi
Unaudhahifu mkubwa sana blaza Ask Why???
 
Basi hapo unajiona boonge la mwamba!
Sio mwamba ila ni udhaifu tu nilionao hasa nikidate na mwanamke kwa muda mfupi na nikaachana naye

Bado sijajua ninahitaji nn zaidi kwa mwanamke ili nidumu kwenye mahusiano

That's all
 
1. Ukiona anaanza kukutambulisha kwa watu wake wa karibu kama rafiki zake, ndugu hata mzazi.
2. Ukienda kwake anakupa uhuru, unaweza kwenda kwake muda wowote na asikuulize kwanini haujamjulisha
3. Haombi papuchi hata akikupa hela. Sehemu za kukutana zikiwa ni kwake au kwako
4. Anakuelezea mipango yake hasa ya kiuchumi au hata mtu akimuuzi atakuambia
5. Akiwa anazungumzia masuala ya ndoa (kuoana). Muishi pamojq mjenge familia.
Ukiona kila mnapokutana anazungumzia sexy, ujue wewe ni wa mazoezi
Huwa tunatafuta mwanamke wa mazoezi na huyu huwa ni yoyote wa kupunguzia nyegezi.
Ukweli mtupu .
 
Umeshachelewa sahivi hizo ndiombinu tunazotumia kuwadanganya
 
Hivi ni kwanini? Yan nikikumbuka kisa flani nacheka kwa masikitiko [emoji1787][emoji1787]

Wanaume nahisi Mungu aliwaumba Juma3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulipatwa na nn?
 
1. Ukiona anaanza kukutambulisha kwa watu wake wa karibu kama rafiki zake, ndugu hata mzazi.
2. Ukienda kwake anakupa uhuru, unaweza kwenda kwake muda wowote na asikuulize kwanini haujamjulisha
3. Haombi papuchi hata akikupa hela. Sehemu za kukutana zikiwa ni kwake au kwako
4. Anakuelezea mipango yake hasa ya kiuchumi au hata mtu akimuuzi atakuambia
5. Akiwa anazungumzia masuala ya ndoa (kuoana). Muishi pamojq mjenge familia.
Ukiona kila mnapokutana anazungumzia sexy, ujue wewe ni wa mazoezi
Huwa tunatafuta mwanamke wa mazoezi na huyu huwa ni yoyote wa kupunguzia nyegezi.
Nimeipenda ☝️👌👌👌🤝🤝🤝
 
Back
Top Bottom