Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Hahahahaaa.... We jichanganye tu, hata uyo kahaba alikuaga bikra vipi aliyemtoa angesema sasa amepata Mke kwakua alikumta bikra ingekuaje sasa!?.....
 
Kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja iwe kwa kujipatia pesa au kwa kujiridhisha kimwili.
Tafsiri uliyoitoa wewe ni ya enzi za wakina yesu
 
Wapo wengi wameoa bikira bado wanapigwa matukio mazuri tu. Kwani bikira sio binadamu? Shida inayokujia wewe utaoa bikira sio tabia. Ndio maana nimekuambia ukifika 35+ ndio utatafakari Pumba ulizoziandika leo.
Halafu mbaya zaidi jamaa vitu anavyoviandika anawatukana pia mama zake,dada zake,shangazi zake,binamu zake pamoja na majirani zake.
 
Hey, NIGGA πŸ˜‚
 
Hangaika kupata bikra nowadays utaishia segerea maana sahizi wapo darasa la saba na baadhi ya form one wengine hawanaga otherwise 10 kwa 200
 
Samia ana kazi sana kuongoza watu wa hivi.
 
Aikooooo.
Vumbi limetimka sana πŸ˜₯ lakini kama lengo Lilikua kuendelea kuhimiza jamii maadili kwa watoto na vijana kujitunza ilikua vizuri. Lakini hizi tafsiri za Malaya na kahaba mlizozileta hata Mimi nitakua mkali πŸ˜‚ Dr haya anahimiza kutumia Constructive Criticism than Destructive
 
Umemuuliza mzee wako kuhusu mamako kwanza..?
 
Huu ni ukweli,
Na kingine hakuna mwanaume Malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…