Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya

Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu

Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect

Learn or perish

Hahahahaaa.... We jichanganye tu, hata uyo kahaba alikuaga bikra vipi aliyemtoa angesema sasa amepata Mke kwakua alikumta bikra ingekuaje sasa!?.....
 
Malaya kwa upande wa mwanamke ni mwanamke anayefanya uasherati kwa lengo la kujipatia fedha, au kupata upendeleo fulani, au kukubaliwa, mara nyingi huwa hajaolewa.

Vilevile mwanamke yeyote anayejiamulia tu kufanya uasherati na mtu yeyote pale anapofuatwa au kutongozwa
Kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja iwe kwa kujipatia pesa au kwa kujiridhisha kimwili.
Tafsiri uliyoitoa wewe ni ya enzi za wakina yesu
 
Wapo wengi wameoa bikira bado wanapigwa matukio mazuri tu. Kwani bikira sio binadamu? Shida inayokujia wewe utaoa bikira sio tabia. Ndio maana nimekuambia ukifika 35+ ndio utatafakari Pumba ulizoziandika leo.
Halafu mbaya zaidi jamaa vitu anavyoviandika anawatukana pia mama zake,dada zake,shangazi zake,binamu zake pamoja na majirani zake.
 
Malaya ni nani? Malaya ni mwanamke yoyote yule ambae anafanya mapenzi na mwanaume ambae hadi wazazi wake wanajua kwamba fulani ndio mwanaume anae Tembea na binti yetu..
Wakati mwingine mwanamke huyo hupewa hadi " cheti" ya kuhalalisha ukahaba wake ambacho kimebatizwa jina " Cheti cha ndoa"

Kitendo cha mwanamke kuwa anakazwa. Wazazi wake wanajua kwamba binti yao anakazwa. Wanamjua hadi anae mkaza. Na mwanamke huyo wala hao ni aibu tena kuhusu hilo yani anajua kabisa hadi baba ake anamjua mwanaume anae mkaza. Na anajua kwamba kila siku usiku anakazwa.

Mwanaume huyo anaenda hadi kujitambulisha nyumbani kwa wazazi wa binti huyo ili apewe ridhaa ya kuwa ana mkaza kila siku.

Hakuna umalaya na ukahaba mkubwa kama huo.

Swali kwako mtoa mada sasa.

Babu yako kizaa mama ako alikuwa anafahamu kuhusu uhusiano wa baba ako na mama ako?
Hey, NIGGA 😂
 
Hangaika kupata bikra nowadays utaishia segerea maana sahizi wapo darasa la saba na baadhi ya form one wengine hawanaga otherwise 10 kwa 200
 
Aikooooo.
Vumbi limetimka sana 😥 lakini kama lengo Lilikua kuendelea kuhimiza jamii maadili kwa watoto na vijana kujitunza ilikua vizuri. Lakini hizi tafsiri za Malaya na kahaba mlizozileta hata Mimi nitakua mkali 😂 Dr haya anahimiza kutumia Constructive Criticism than Destructive
 
Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya

Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu

Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect

Learn or perish

Umemuuliza mzee wako kuhusu mamako kwanza..?
 
Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya

Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu

Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect

Learn or perish

Huu ni ukweli,
Na kingine hakuna mwanaume Malaya
 
Back
Top Bottom