zyuho
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 220
- 348
Ni nafuu uizibue mwenyew tu aka ukipigiwa wenzio wanakua wanafanya maridio tuWapo wengi wameoa bikira bado wanapigwa matukio mazuri tu. Kwani bikira sio binadamu? Shida inayokujia wewe utaoa bikira sio tabia. Ndio maana nimekuambia ukifika 35+ ndio utatafakari Pumba ulizoziandika leo.