Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

KAMA UMEISHIWA CHA KUONGEA TULIA....usinipotezee mimi muda, nimekupa reality umebaki unakimbia kimbia tu...eti unajua nimeandika kwa majuto kwa kuwa unatumia ramli au...??? Hivi kwa akili yako na kunisoma kote mimi najutia kutolewa bikira ??? Sio bure una tatizo la uelewa...hujui kuobserve vitu wala kujua where do people stand...kwa maana nyingine una kichwa cha kuku!!!!!...unaniletea stori za masister waliokula kiapo kutokana na imani yao hivi are you this stupid???? Simple hawaolewi wangekuwa wanaolewa wasingekua nazo mjinga we, kwanza unajuaje kama wanazo ??? Jinga we...unasema mimi ni mkiristu ulivyo jinga jinga unaweza kudhania ID unazosoma humu ni majina halisi ya watu..na wewe ukajiandikisha na jina halisi...kila ninavyozidi kukusoma ndio najidhihirisha nabishana na jitu moja jinga jinga sana anyway I have got time...
NAJUA UTANIBISHIA SANA KWAKUA WEWE MWENYEWE UMESEMA KWENU MNAOLEWAGA MKIWA MAKAHABA! ILA KWA COMMENTS ZAKO NI DHAHIRI UNAJUTA KUTOLEWA BIKRA KABLA YA NDOA!
 
Mkuu hakuna mwanaume ambae hakutaka kuoa mwanamke bikira.

Bikira ina heshima yake special.

Imetubidi kuoa used sababu bikira zimekua adimu sana sokoni.
 
Mbn hilo liko wazi kizazi hiki hatupendi kukubali ukweli hasa ukiwa unatuhusu

Na ndio mana tunang'ata maneno

Kamari tunaita betting

Tapeli tunamwita dalali

Malaya tunamwita slayqueen

Mama mtu mzma hovyo tunamuita mshangazi

Hili jambo la bikra zamani ilikuwa kabla mwanamke hajaolewa anakaguliwa na shangazi wa mwanaume akikutwa sio bikra anaachwa au kulipishwa faini kwa kufanya umalaya na kupoteza bikra yake

Na hii ilikuwa sio kwa wanawake tu hadi wanaume unapata wapi mwanamke wa kusex nae asiye mke wako na ukitembea na mke wa mtu ulikuwa unatafuta kifo. Kwahyo maadili yalikuwepo mpka ndoa

Kukosekana kwa bikra hakuhalalishi utovu huo wa nidhamu kwa mwanamke na wanaume pia

Naunga mkono hoja
 
Hoja iungwe Kwa Kila mwanaume mwenye akili timamu.

Enzi hizo kulikuwa na utaratibu fln kuwa akiolewa binti lazima mashukayawe meupe Ili bikira inapotoka kuwe na USHAHIDI na shuka zile zilikuwa zinarudi Kwa mamake na binti na zawadi juu!!!

Nimeona haya kwenye family zetu usukumani huku

Back
Top Bottom