Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Hoja iungwe Kwa Kila mwanaume mwenye akili timamu.

Enzi hizo kulikuwa na utaratibu fln kuwa akiolewa binti lazima mashukayawe meupe Ili bikira inapotoka kuwe na USHAHIDI na shuka zile zilikuwa zinarudi Kwa mamake na binti na zawadi juu!!!

Nimeona haya kwenye family zetu usukumani huku
Akiolewa au kabla hajaolewa?

Mana kama n ndoa c hapo tayari ameshaipata na unaweza kukuta sio bikra.
 
Malaya ni nani? Malaya ni mwanamke yoyote yule ambae anafanya mapenzi na mwanaume ambae hadi wazazi wake wanajua kwamba fulani ndio mwanaume anae Tembea na binti yetu..
Wakati mwingine mwanamke huyo hupewa hadi " cheti" ya kuhalalisha ukahaba wake ambacho kimebatizwa jina " Cheti cha ndoa"

Kitendo cha mwanamke kuwa anakazwa. Wazazi wake wanajua kwamba binti yao anakazwa. Wanamjua hadi anae mkaza. Na mwanamke huyo wala hao ni aibu tena kuhusu hilo yani anajua kabisa hadi baba ake anamjua mwanaume anae mkaza. Na anajua kwamba kila siku usiku anakazwa.

Mwanaume huyo anaenda hadi kujitambulisha nyumbani kwa wazazi wa binti huyo ili apewe ridhaa ya kuwa ana mkaza kila siku.

Hakuna umalaya na ukahaba mkubwa kama huo.

Swali kwako mtoa mada sasa.

Babu yako kizaa mama ako alikuwa anafahamu kuhusu uhusiano wa baba ako na mama ako?
We Jamaa kibokoo aisee
 
Mkuu nisaidie na mimi nipate mpenzi bikra nioe,au kama unakipimo cha kupima demu bikra nisaidie. Maana nimelala na mademu 360 lakini sijaona mwenye bikra
 
Ni kweli ni katoto...kamefika PM kuporomosha matusi, nimeamua kukaignore...kasije kakajinyonga bure.
Katakuwa ni ka-lastborn hako... Kila saa "aenda kuchema kwa mamaaa"

😂😂😂 kakua na hiyo tabia ya kushtaki mpaka mitandaoni, sasa kule kusipo na Mods mfano Instagram na Facebook sijui huwa anashtaki kwa nani 😂😂😂🙌
 
Na kina mzee J.K, January, Makonda, Bashe, Jafo ID zao zingekuwa Original hakika wangesumbuliwa sana! Bora waendelee zao kujificha wasome na ku-comment anonymous kuepuka tag za kizwazwa kama hizi... Jitu limevurugwa, limekosa mtetezi linaenda kuwatag waheshimiwa 😂😂😂😂😂😂😂

Hii kali 😂🙌
Jamaa amebanwa pabaya 😂
 
Back
Top Bottom