Utajuaje kama mwanamke yupo vizuri kitandani? Bro Code imeshuka

Utajuaje kama mwanamke yupo vizuri kitandani? Bro Code imeshuka

Nyieee
Maswali yenu mnaniletea whatsapp sijapenda kabisa

Ila kuna ukweli huu wa asilimia 200 kwa wanawake

Ukitaka kujua kuwa mwanamke yuko vizuri kitandani, kumjaribu sio lazima umfunue na kumpapasa, mwambie akupikie chakula unachopenda cha kwenu au nchi yako, akipika chakula kizuri na kitamu bro, huyo kitandani ni kamanda

Kama mwanamke hajui kupika, kitandani hayuko vizuri pia vitu vingi hajui,

trust me hii ndio bro code mnatakiwa mtembee nayo wanaume

hamna haja tena ya kushika shika, acha akupikie
Money Penny, kwani wewe unajua kupika?
 
Labda hataki kupika hakunaga mwanamke mbaya kitandani akajua kupika trust me hii ni statistics ya miaka nenda rudi
Mkuu unalazimisha muungano usiowiana bhana.

Nikitaka kusimulia kisa changu naona aibu mie, maana bila kutaja matusi ya nguoni hauwezi kunielewa.

Mtu huyo alikuwa hajui kupika kabisa, akisonga ugali ni mbichi, lakini kwenye 6×6 hajambo.

Siyo hajambo tu, kama ni shule na kwa vyeo vya walimu, basi yeye ni mkuu wa shule.

Mimi siyo mjinga kuajiri dada wa kazi kunipikia huku nikiwa na mke ndani.
 
downloadfile-5.jpg
 
Back
Top Bottom