Utajuaje kama mwanamke yupo vizuri kitandani? Bro Code imeshuka

Utajuaje kama mwanamke yupo vizuri kitandani? Bro Code imeshuka

Labda hataki kupika hakunaga mwanamke mbaya kitandani akajua kupika trust me hii ni statistics ya miaka nenda rudi
Sitaki kusema kuna ukweli ndani yake ila kuna kama wanne hivi ambao wanajua sana kupika kwenye masuala walikuwa ni 🔥🔥🔥🔥

Itabidi niifanyie kazi hii tena, iuthibitisha zaidi
 
Nyieee
Maswali yenu mnaniletea whatsapp sijapenda kabisa

Ila kuna ukweli huu wa asilimia 200 kwa wanawake

Ukitaka kujua kuwa mwanamke yuko vizuri kitandani, kumjaribu sio lazima umfunue na kumpapasa, mwambie akupikie chakula unachopenda cha kwenu au nchi yako, akipika chakula kizuri na kitamu bro, huyo kitandani ni kamanda

Kama mwanamke hajui kupika, kitandani hayuko vizuri pia vitu vingi hajui,

trust me hii ndio bro code mnatakiwa mtembee nayo wanaume

hamna haja tena ya kushika shika, acha akupikie
Hakuna code hapo mwanaume anataka kuheshimiwa yaani muonyeshe mwanaume wewe ni mali yake peke yake tu basi hata kama hujui mapenzi sijui kupika atakuvumilia na kukupenda sana.
 
Hakuna code hapo mwanaume anataka kuheshimiwa yaani muonyeshe mwanaume wewe ni mali yake peke yake tu basi hata kama hujui mapenzi sijui kupika atakuvumilia na kukupenda sana.
Wameheshimu kibao na bado wabovu kitandani we wa wap
 
Back
Top Bottom