Utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu?

Kuonyesha udhaifu haswa mbele ya maanamke ni sawa na kuonyesha damu mbele ya papa baharini

They can smell that na hawana huruma on that
 
Preach preach preach mr man.



Niamini ninaposema samia
Anaongoza vichaa.
 
Mwanaume lazima ujue kubembeleza! Mwanaume ni lazima ujue kupetipeti. Wanawake wakati mwingine wanahitaji kubembelezwa, kuthaminiwa, kusikilizwa, kupendwa, nk! Kwa ujumla wanawake wanahitaji akili ya ziada ili kuishi nao.
 
Kuonyesha udhaifu haswa mbele ya maanamke ni sawa na kuonyesha damu mbele ya papa baharini

They can smell that na hawana huruma on that
Huwa wanasema wanataka mwanaume mwema, anaejali, anaweka wazi magumu anayooitia ili washauriane n.k ishi nao hivyo sasa kama wanavyosema uone kitakachofuata
 
Mwanaume lazima ujue kubembeleza! Mwanaume ni lazima ujue kupetipeti. Wanawake wakati mwingine wanahitaji kubembelezwa, kuthaminiwa, kusikilizwa, kupendwa, nk! Kwa ujumla wanawake wanahitaji akili ya ziada ili kuishi nao.
Love her, support her, but not at expense of peace, dignity, resources and mission
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…