AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Duuuh itakua mkewe ila Wapare hawapo hivyo mkuu wanazingua ukiwa hujawaoa tu ila ukishaoa wapo fresh sana, talking from experience maana tumeshaoa Upareni mara mbiliMkuu kati ya wewe na Mke wako nani ni mpare 🤣
Duuuh hivyo ndio vipaombele vyako namba 1 au sio?Mwanaume kama hufanyi kimojawapo Hapa bc ww n dhaifu kupitiliza.
1. Hupigi nyeto
2. Hutak kubet
Pigia mstariDuuuh hivyo ndio vipaombele vyako namba 1 au sio?
Hela itakuwezesha kuwa na options nyingi. Ofcourse, simp mwenye hela atakimbiliwa na wanawake wengi zaidi ya alpha male ambae ana kipato cha kawaida tuAcc balance ndo itakuonesha kua wewe ni mwanaume dhaifu au Strong.
Huwezi kua mbabe kwa viumbe zaifu(ke) halafu Mishe za kiume za kuingiza hela huna.
Uo ndo usela mavi.
Kwa uzoefu wangu ukiwa na Hela za kutosha kabisa kumuhudumia mkeo 100% hizo mambo zingine ziada tuMwanaume lazima ujue kubembeleza! Mwanaume ni lazima ujue kupetipeti. Wanawake wakati mwingine wanahitaji kubembelezwa, kuthaminiwa, kusikilizwa, kupendwa, nk! Kwa ujumla wanawake wanahitaji akili ya ziada ili kuishi nao.
Hahaha, mkuu usidanganye vijana bana, Mwanamke anahitaji ulinzi, Afya, Chakula, usafiri na malazi. Huo ndo upendo sahihi kwa mwanamke.Mwanaume lazima ujue kubembeleza! Mwanaume ni lazima ujue kupetipeti. Wanawake wakati mwingine wanahitaji kubembelezwa, kuthaminiwa, kusikilizwa, kupendwa, nk! Kwa ujumla wanawake wanahitaji akili ya ziada ili kuishi nao.
😂😂😂😂😂😂.Ila JF unaweza kuta mtu anaandika haya akiwa bafuni aanafua chupi za mkewe maana ameambiwa bila kuzifua hapewi game leo😁
Hela itakuwezesha kuwa na options nyingi. Ofcourse, simp mwenye hela atakimbiliwa na wanawake wengi zaidi ya alpha male ambae ana kipato cha kawaida tu
But the fact that a simp who have money will have more women chasing him doesn't mean that the alpha will lack women. In reality the alpha male will have more wisdom to control amd manage women than the simp who have money. Women will most likely destroy the simp than the alpha.
Sikufahamu lakini kitu ambacho nina uhakika nacho, wewe ni simpUnapokuwa unatoa ushauri zingatia
1. Unashauri rika gani?
2. Kuwa kila mtu ana njia ya kuishi na mke wake/mme wake
3. Kuwa akili za wanawake hazifanani
4. Akili za wanaume hazifanani
5. Kuna maisha ya matajiri, masikini (matabaka haya hayafanani kushughulikia changamoto za ndoa)
6. Maisha ya single baba na single mother hayafanani
7. Maisha ya wenye watoto wakubwa na wenye watoto wadogo hayafanani katika ndoa
8. ambaye hajaoa hana uwezo wa kumshauri vizuri ambaye ameoa (ni kama motivation speaker, maneno mengi, uhalisia zero)
9. kuwa ushauri wako haufanyi kazi katika nyanja za imani za kidini.
ACHA KILA MTU ASIMAMIE NDOA KWA JINSI ANAVYOONA ANAPATA RAHA KUTOKA KWA MWENZAKE.
Sii kweli kwamba pesa inakuwezesha kuwa alpha male automatically. Rich simps wapo. Unamjua Emanuel Eboue, mchezaji wa zamani wa arsenal. Fuatilia upumbavu alioufanya ukapelekea kupoteza kila kitu akichopata kwenye career yake ya mpira wa miguuUkiwa Alpha without money, utagongewa na simp with money.
Ukishakua na pesa automatically unakua na aoption kama ulivo sema & automatically unakua Alpha male.
Pesa ndo Fuel ya Mwanaume.
Wamekufanya nini. 🤭Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.
Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.
Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?
Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.
Love her, support her, but not at expense of peace, dignity, resources and mission.
Don’t be a simp
Weka mondeMwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.
Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.
Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?
Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.
Love her, support her, but not at expense of peace, dignity, resources and mission.
Don’t be a simp
Naunga mkono hojaIla JF unaweza kuta mtu anaandika haya akiwa bafuni aanafua chupi za mkewe maana ameambiwa bila kuzifua hapewi game leo😁
Kinacho matter ni always be real, na utafute mwenza ambaye yupo tayari kwendana na characters zake. Kwa msukumo wa kijamii, na media watu wanajikuta wakilazimika kulazimisha mambo ambayo hayapo katika asili yao ili kuwaplease watu wengine. Ishi katika misingi yako, mwanaume ukitiatia huruma hii jinsia ya kike unafall on the trap easilyMwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.
Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.
Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?
Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.
Love her, support her, but not at expense of peace, dignity, resources and mission.
Don’t be a simp
😆😆 Wewe kama sio mganga basi Wa nyumbn kabisa, wife ndio mpare.Mkuu kati ya wewe na Mke wako nani ni mpare 🤣
Hapa ndiyo panauma kama kidonda kuwekwa chumvi.Swala la kuchapiwa lipo pale pale hata umfanyie nini