Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

Wafuatao watasikiliza hotuba ya Lissu.

1. Wanachama wa Chadema.

2.Wanachama wa vyama tofauti na Chadema.

3. Watanzania wasio na vyama.

Kwa msingi huo Lissu atahutubia TAIFA.
Ahahahahaha! Jidanganye.
 
Kuepuka lawama uwe una quote usiandike kama wewe ndie mwanzisha hiyo taarifa

Utabeba zigo la gunia la misumari la lawama lisilokuhusu
Kwa zaidi ya 90% ya habari za Chadema ninazozileta hapa nazitoa kwenye Chama au vyanzo vya Chama vya kuaminika kabisa, sasa wao wakikosea basi hilo ni lao wenyewe
 
Huenda akiamka tu siku hiyo kwenda ofisini atakuta FFU wamezingira ofisi za Chama!
Tumwombe Mungu.
Ndo inavyodaiwa. Lissu amesema ameamua kufanya mkutano. Chama cha kisiasa bila mikutano ni chama mfu. Nasikia CCM wamevunja katiba yao kuhusu uchaguzi. Nataka nimuombe Madeleka aende Mahakamani. Msajili wa Vyama vya siasa yupo kimya.
 
Hata mimi linanishangaza kweli. Angelikuwa Mbowe, angeliisharuka na chopa kwenye mikoa zaidi ya mitano na kuleta hamshahamsha. Lakini Lissu chopa hawezi kukodi na michango ya kununua gari haieleweki. Eti Mwenyekiti! My foot!
Why Wanawake tuna visirani sana?
 
WAkipata agenda mapema kama ile ya fom1 kumteua sa100 kuwa mgombea pekee siku ile dodoma
 
Agenda ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote naiunga mkono.

Nimeipambania sana humu.
 
Agenda ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote naiunga mkono.

Nimeipambania sana humu.
Endelea kuota ndoto, Bunge linavunjwa miezi michache kutoka sasa
 
Tunaingoja kwa hamu hiyo hotuba maana kwa sasa ndiye kiongozi pekee mwenye kutoa hotuba akaeleweka na ukatamani aendelee kuongea! Rais wetu ajaye asiye na mawaa wala kunyazi! Mzalendo wa kweli!
Hata John Heche anasomeka vizuri. Anaongelea mambo na maisha halisi ya Mtanzania.
Sio siasa za 19kweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…