Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

Samahani Mkuu, wapi nimesema kwamba nimehamia CHADEMA? Nimehamia CHADEMA kutoka wapi? Yaani nilikuwa wapi nikahama?
Aaah basi nisamehe........hii uzi yako mbona imekuja kubabe sana? Eti utake usitake.....kwani ugomvi?
 
..mbona kuna taarifa nyingine kwamba siku hiyo atakuwa kwenye msiba wa kada wa Chadema Manyara?
Tangu jana alihudhuria msibani, anaweza kuhudhuria mazishi na akaondoka kwa ndege
 
Angalau hotuba yake ina mvuto.
Sikumbuki mara ya mwisho kusikia hotuba ya raisi
 
Wamebaki wahuni na mropokaji wao. Wenye hekima wamesepa wamebaki akili robo robo
Una nyongo sana.
Sijui umepata hasara kiasi gani kwa Mbowe kushindwa.

Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…