Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Hii inabidi familia zote za watanzania zisikilize.Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni kutokea Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Kwani uliyekuwa unampigia chapuo la kuwa Mwenyekiti wa CDM Taifa alifanikiwa kutetea kiti chake?!Maumivu ya nini?
MKE WA MBOWE HUYO SASA HIVI INASEMEKANA DUNIA NZIMA INAJUWA KUWA NDANI HAKUPIKIKI TENA LAWAMA KWANINI KAACHIA KITI KIZEMBE HIVYO ANATAKA KUDAI TALAKAErythrocyte amebaki kuwa mdandiaji wa nyuzi za wengine,siku hizi hatupashi habari za ndani kabisa juu ya chadema,kulikoni bwana Erythrocyte ?
Mshamba yule, anajisogeza kwa Lisu, keshanusa Mbowe kutokuwepo kwa Mbowe kunaenda kumuua kwa njaaUle Uzi wa hivihivi wa chawa wa Mbowe umefutwa!?.., yule mwenye mbwembwe na mikwara mingi..
Hilo ndilo lilete maumivu? After all sikuwa nampigia chapuo yeyote (definitelt unamaanisha Mbowe). Nimelisema sana tena sana kuwa my concern na Lisu ni aina ya kampeni alizozifanya. Alichagua characters assassination kwa Mbowe. hata angelikuwa Mnyika, Lema akafayiwa hivyo, ningeliandika kutokubaliana naye!Kwani uliyekuwa unampigia chapuo la kuwa Mwenyekiti wa CDM Taifa alifanikiwa kutetea kiti chake?!
Wapiga porojo wako wengi Kwenye payroll ya Samia!Acha porojo ndugu
Ni wengi mnoWapiga porojo wako wengi Kwenye payroll ya Samia!
Hamuwezi kuuzwa mara mbili kwani Samia kisha wauza kwa wajomba zake!Huyu hafai kuwa rais, atatuuza mchana kweupeee
Mungu ambariki Tundu LissuHamuwezi kuuzwa mara mbili kwani Samia kisha wauza kwa wajomba zake!
Lissu anakuja kuwakboa kwa kurudisha maliasili zetu Wa Tanganyika Huyu bibi alizouza na kuficha hela huko uarabuni!
Magufuli alishasema tena hadharani kuwa Kikwete aliingia mkataba wa kuendesha bandari ya Bagamoyo wa kishenzi sana Ndio maana aliufuta!!Mungu ambariki Tundu Lissu
Tunaomba "Recap" ya alichoongea.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341
Naomba nikutaarifu ya kwamba leo ni tarehe 13 inaishilia. Hotuba ya Lissu imeleta impact gani?Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341