Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

Kwa wale wa Airtel
*149*99# ➡️Chagua 5 (Internet) ➡️ Chagua 3 (siku) ➡️Chagua 6: 3000/= GB 1.4 siku 7
 
Tupo live, tupo live.. Rais wa watanganyika masikio yetu yamo kwako kamanda.
 
Kwani uliyekuwa unampigia chapuo la kuwa Mwenyekiti wa CDM Taifa alifanikiwa kutetea kiti chake?!
Hilo ndilo lilete maumivu? After all sikuwa nampigia chapuo yeyote (definitelt unamaanisha Mbowe). Nimelisema sana tena sana kuwa my concern na Lisu ni aina ya kampeni alizozifanya. Alichagua characters assassination kwa Mbowe. hata angelikuwa Mnyika, Lema akafayiwa hivyo, ningeliandika kutokubaliana naye!

Mimi kwangu Lisu kushinda is Ok, my concern aliwapaka matope wenzake kitu ambacho namuona HAFAI NA SIWEZI KUONGOZWA NA MTU KAMA HUYO...NASIMAMA UANACHAMA WA CHADEMA MPAKA ATOKE...BE IT MIAKO 50 IJAYO!

JUA MSIMAMO WANGU: BUT I REMAIN ROYAL TO CHADEMA
 
Hamuwezi kuuzwa mara mbili kwani Samia kisha wauza kwa wajomba zake!
Lissu anakuja kuwakboa kwa kurudisha maliasili zetu Wa Tanganyika Huyu bibi alizouza na kuficha hela huko uarabuni!
Mungu ambariki Tundu Lissu
 
Mungu ambariki Tundu Lissu
Magufuli alishasema tena hadharani kuwa Kikwete aliingia mkataba wa kuendesha bandari ya Bagamoyo wa kishenzi sana Ndio maana aliufuta!!
Leo tena Kikwete huyo huyo kupitia mgongo wa mama Abdul( Asiyejua hata kuisoma hiyo mikataba) wameingiza mkataba mwingine ( ambao wameuficha ) na wajomba wa Samia toka Saudia kujenga bandari huko Bagamoyo!!
Serikali hii kwanini inawaficha wenye mali mikataba inayohusu mali zao?
Ufisadi wa kiwango hiki haujawahi kutokea!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.

Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.

#StrongerTogether
View attachment 3232341
Naomba nikutaarifu ya kwamba leo ni tarehe 13 inaishilia. Hotuba ya Lissu imeleta impact gani?
 
Back
Top Bottom