johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acha uchawi bwashee!Simba hawakai porini, wanapendelea savannah, wataondoka tu huko burigi.
Jumla ya Simba 17 wamehamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi huko Chato ikiwa ni hatua ya kuimarisha vivutio vya utalii Kanda ya Magharibi.
Simba hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti ambaye amewataka wananchi wa maeneo hayo wawe wakarimu wakati wa kuwapokea na kuwahudumia watalii.
Source: ITV habari!
Sishabikii mbuga ila natoa taarifa kuwa Simba walikuwepo kabla ya barabara za Muleba Biharamulo na Muleba Chato kuwekwa lami. Wanaoifahamu barabara ya Muleba Biharamulo kuna mlima unaitwa mlima wa Simba.Simba hawakai porini, wanapendelea savannah, wataondoka tu huko burigi.
Nadhani wanasiasa wanafikiri wataweza kuifanya Burigi Chato sawa na Serengeti au Tarangire.
Ukweli mchungu kuuza safari kanda ya kaskazini ni rahisi zaidi kwasababu mbuga zote maarufu zipo karibu na nirahisi kumshawishi mteja kwenda huko.
Ukishuka Kilimanjaro Airport unakutana na Kilimanjaro National Park 20 kilometer,ARUSHA National Park 30 kilometers,Tarangire 70 kilometers,Manyara 70 kilometer,Ngorongoro & Serengeti 130 kilometers Hii ni parkage moja katika eneo moja.
Rubondo,Kitulo,Mahale & Gombe zipo muda mrefu lakini hazimo miongoni mwa hifadhi zinazoingiza mapato.Zipo kwasababu ya ruzuku from others Park kama Kilimanjaro,Serengeti & Ngorongoro.
Sasa hao simba wamekwenda wapi mkuuSishabikii mbuga ila natoa taarifa kuwa Simba walikuwepo kabla ya barabara za Muleba Biharamulo na Muleba Chato kuwekwa lami. Wanaoifahamu barabara ya Muleba Biharamulo kuna mlima unaitwa mlima wa Simba.
Trust me baada ya miezi sita nusu yake watahamia Rwanda
Jr[emoji769]
Na huko watawamaliza Sokwe wote wa Mlima virunga!Trust me baada ya miezi sita nusu yake watahamia Rwanda
Jr[emoji769]
Hakuna uchawi hapo mami,huo ndiyo ukweli pekee,hata wewe una mazingira rafiki kwako,yakiwa tofauti unahama.Acha uchawi bwashee!