Utalii: Simba 17 wahamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi - Chato

You are talking of something else. The link has a lot of nonsense information. Biharamulo Game reserve is just part of the larger Burigi Chato.
I know that Bihalamuro Burigi nd Kimisi game reserves they formed burigi chato national park so kama simba walikuwa eneo mojawapo bado wataendelea kuwepo na Hao waliopelekwa wataishi tu. Sioni hoja yako hapo. Sasa kama ni part wewe unajua hao simba wanapelekwa wapi au unatoa tu mapovu
 
Soma tena original post yangu. Umeokoteza links za ajabu ajabu.
 
Sawa Dr. Abasi umesikika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechemka mazima
 
Nimetaarifiwa wanaweza pia kusaidia kuthibiti majangiri yanayosumbua eneo hilo, pelekeni simba wa kutosha tafadhali...
 
Naskia anataka kuhamishia mlima Kilimanjaro huko chato!! Kigwa anautaftia namna
 
Bado bahari ya Hindi kuhamia Chattle...😊


Everyday is Saturday...............😎
 
Hata wamasai walihamishiwa arusha ngorongorona maeneo yanayozunguka kutoka ndani huko , ndiyo maana mpaka leo wana mgogoro mgogoro wa ardhi.
 
Hao Simba walienda wapi Kama walikuwepo?.
Fatilua,huwenda walihama au kutoroka na kwenda sehemu zngine ama walikufa Kama eneo halikuwa na mazngira mazuri ya uwindaji.
Waliwidwa na majangili wakati Tanzania ilipokuwa "shamba la bibi"! Tuliibiws sana, sass badi tutarudisha wanyama wetu na kuwalinda.
 
kitulo imekua hifadhi rasmi juzi juzi tu hapo (around 2010-15 ndio imetangazwa rasmi kama hifadhi ya taifa)!
 
Hivi hakuna wataalamu wa haya mambo huko wizarani? Mbona siasa zinatuondolea uwezo wa kufikiri kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hapa hii taarifa inaleta mantiki kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…