Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikumbushe mkuu alisemaje Uhuru? maana alipewa gift ChatoUhuru hawezi kumpigia simu Magufuli kutokana na maneno ya kashfa aliyoyasema siku ile akiwahutubia wakenya, na Magufuli hatorudi nyuma, sana sana tutegemee hatua kali zaidi toka Tanzania.
Exactly na ndo maana tumezuia ndege zao ili kuwalinda na corona yetu! Nini kelele sasa?Kenya wako sahihi kufanya maamuzi ya kuilinda Nchi yao kiafya.
Sisi Watanzania tuendelee na mipango yetu itakayo tufaa.
Tunawombea Wakenya wafanikiwe vita yao dhidi ya Covid 19.
Watanzania kukatazwa kwenda Kenya au kulazimishwa kuweka karantini ni kwa manufaa yao na yetu pia.
Sisi ni Nchi huru tusipangiane cha kufanya.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Inabidi JPM awambie yuko busy na kamempeni, ikitokea wanaomba kuzungumza nae.Hii ndio nafasi ya kuua utalii wao kama ndio Mimi nakua serikalini bc hata wakitaka mazungumzo nawazungusha kilacku busy mpaka mwezi wa Kwanza mwakani ili iwe fundisho Kwa siasa zao za kujaribu jaribu chuki
Tukipiga na magari yenye mi namba ya KBA, KBC etc itapendeza sanaExactly na ndo maana tumezuia ndege zao ili kuwalinda na corona yetu! Nini kelele sasa?
Angetimba mazima bongo kuna kuoneana aibu siku moja wanayamaliza. Issue hapo kutoa aibuZa chini ya kapeti uhuru uwa anampigia kila mara bob magu,anaanza na story zingine zingine ila akianza kuingizia story zake za ndege magu anakata simu [emoji3],hawa mungiki mpaka wanyooke
"Tusijilinganishe na nchi zingine ambazo wana hili tatizo zaidi yetu lakini vyombo vyao vya habari havipo huru, sisi ni nchi ya demokrasia hatuwezi kuficha kitu"Nikumbushe mkuu alisemaje Uhuru? maana alipewa gift Chato
Kenya hawako sahihi inaonyesha ni kiasi gani viongozi wao hawajui wanalolifanya. Wao kama kweli wanaamini Tanzania kuna Corona na hawataki kuruhusu ndege na watanzania kwenda kwao kwa usawa, walipaswa kuiacha nje Tanzania katika orodha za nchi ambazo wao watapeleka ndege zao.Kenya wako sahihi kufanya maamuzi ya kuilinda Nchi yao kiafya.
Sisi Watanzania tuendelee na mipango yetu itakayo tufaa.
Tunawombea Wakenya wafanikiwe vita yao dhidi ya Covid 19.
Watanzania kukatazwa kwenda Kenya au kulazimishwa kuweka karantini ni kwa manufaa yao na yetu pia.
Sisi ni Nchi huru tusipangiane cha kufanya.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Halafu ni kama wamepunguza pima pima! [emoji23][emoji23][emoji23]Kenya hawako sahihi inaonyesha ni kiasi gani viongozi wao hawajui wanalolifanya. Wao kama kweli wanaamini Tanzania kuna Corona na hawataki kuruhusu ndege na watanzania kwenda kwao kwa usawa, walipaswa kuiacha nje Tanzania katika orodha za nchi ambazo wao watapeleka ndege zao.
Viongozi wa Kenya wanajua sheria na taratibu zinazotumika katika kufunguliana anga za nchi, kwamba nchi zilikzokubaliana kufunguliana anga lazima kuwe na usawa, endapo kuna tatizo litakalosababisha usawa huo usiwepo, lazima nchi hizo mbili wakubaliane kwa pamoja, haiwezikani nchi moja ijiamulie yenyewe itakavyo, ikifanya hivyo inaipa kibali nchi hiyo nayo kujiamulia itakavyo, ndicho kilichotokea.
Hadi Twitter. Nice .Halafu ni kama wamepunguza pima pima! [emoji23][emoji23][emoji23]
Exactly na ndo maana tumezuia ndege zao ili kuwalinda na corona yetu! Nini kelele sasa?
majirani wema! self quarantine!Sisi tumeapa kuto waambukiza korona wakenya. Tunajifungia ili watu wasio na kolona tusiwaletee huko kwao.
Kunyans r becoming racists to their masters now!Walisha jichokea sa hii wana waya waya, hawana la kufanya. 😛😛😛
Unafiki kitu kimbaya sanaKaka amini usiamini, hakuna lolote Kenya wamepanga katika hili, tatizo lao hawa jamaa ni uwezo mdogo wa kufikiria, jambo linalowafanya kuingia katika matatizo makubwa hata katika kuendesha nchi yao. Uwezo wao ni mdogo na hawataki kusikiliza ushauri wanajiona wao ndio kila kitu.
Sasa kipindi kile tunatumia strategy yetu unakumbuka majina waliyokuwa wanampa Magu? Ndiyo maana tunawakumbusha tu waachage unafiki mkuu.Kenya wako sahihi kufanya maamuzi ya kuilinda Nchi yao kiafya.
Sisi Watanzania tuendelee na mipango yetu itakayo tufaa.
Tunawombea Wakenya wafanikiwe vita yao dhidi ya Covid 19.
Watanzania kukatazwa kwenda Kenya au kulazimishwa kuweka karantini ni kwa manufaa yao na yetu pia.
Sisi ni Nchi huru tusipangiane cha kufanya.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Mna tabia ya kumention ovyo Tanzania kule twitter kwenye tweet zenu na ndio maana tunaona.Hadi Twitter. Nice . View attachment 1554216