Utalii wa Kenya taabani kufuatia mzozo na Tanzania, Wawejezaji wamuomba Uhuru Kenyatta kumpigia magoti Magufuli

Utalii wa Kenya taabani kufuatia mzozo na Tanzania, Wawejezaji wamuomba Uhuru Kenyatta kumpigia magoti Magufuli

Tulia Kwanza Syringe Isijeikakatikia Kwenye Kalio, Bado Hatujaanza Kukamua Dawa!!!
Tutaelewana.
 
Bado tuko mbele yenu kiuchumi.
Ndo huo uchumi tunao doubt humu, hv inakuwaje uchumi wako mkubwa af unababaishwa na mtu uliyemzd? Maana ya uchumi kuwa mkubwa dhidi ya fulani iko wapi ss, yn nyie mna uchumi mkubwa kuliko Tz lkn hatima ya uchumi wenu kaishikiria Tz huoni kwamba Tz ndio inapaswa kujisifu kuwa na uchumi mkubwa zaidi yenu? Au tafsiri ya uchumi ipoje kichwani mwako ww mbugila [emoji3][emoji3]
 
Nawasikilizaga sana wakenya haswa kuna kamdada katangazaji kanatangazia radio jambo, kanaitwa masawe japani baba yake ni mkamba mama yake ni mchaga, yani huyu dada ni mbuzi kabisa ukisikia anavyo inanga Tanzania utafikiri wao ni malaika. Acha waipate fresh kwanza akili iwakae sawa. Nyie yesekeni sisi huku tuna shangilia ushindi nyambafu. Tuna shangilia na hakuna covd{[emoji641]}wala covd19piga nyundo hao taka taka.
 
MK254 tng aoneshwe nchi yake imetoa ile statement kaanza kuingiwa na woga so huwezi muona humu tena anajua shuzi linalofuata ni aibu tupu kwake cz nchi yake itamdhalilisha mda c mrefu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndo huo uchumi tunao doubt humu, hv inakuwaje uchumi wako mkubwa af unababaishwa na mtu uliyemzd? Maana ya uchumi kuwa mkubwa dhidi ya fulani iko wapi ss, yn nyie mna uchumi mkubwa kuliko Tz lkn hatima ya uchumi wenu kaishikiria Tz huoni kwamba Tz ndio inapaswa kujisifu kuwa na uchumi mkubwa zaidi yenu? Au tafsiri ya uchumi ipoje kichwani mwako ww mbugila [emoji3][emoji3]
Nini faida na kazi ya uchumi mkubwa
 
Nini faida na kazi ya uchumi mkubwa sasa kama hata kumpigisha goti mtu uchumi wao hauwezi bc unatumika kwenye nini au kuombea mkopo tu?
 
Magufuli katuonesha udhaifu wa kenya ulipo, katuonesha pia jinc nchi yetu ilivyo na nguvu kubwa ya ushawishi, Magu kawaonesha WaTz kwmb wanaishi katika miongoni mwa nchi chache zilizobarikiwa hapa duniani, hii itawatesa Wakenya vizazi na vizazi mana Magu keshawavua nguo now wanaonekana si kitu mbele ya Tz, anachotaka Magu kwa ss ni kuidhalilisha Kenya mpk serikali yao itubu adhalani kwamba wamekosa na wanahitaji msamaha na huruma yetu.

Kenya inafundishwa na Magu jinsi gani inatakiwa kujitegemea na sio kutegemea mabeberu cz mabeberu hawana time na mtu bali wao wanajijali wao tu so Kenyatta na kenya yake hawatokuwa na namna zaidi ya kuja kumuomba msamaha Magu yaishe, ila kwa jinc ninavyomjua rais wng yn umchezee mara mbili mbili zen awe anakusamehe tu never, hii ngoma inaweza kwenda mpk 2025 na hata ikitokea kawasamehe but kuna vikwazo vng atawawekea cz Magu anataka aisambaratishe kenya kiuchumi na aondoke akiiacha Tz ikiwa ndo the economically leading nation of E&C of Africa, so Wakenya mjifunge mkanda kweli kweli cz hzo pipi na biscuits mnazotambia kwmb industrial products mnazouza Tz hazitakuwa na soko tena cz jamaa maviwanda yake yakianza operation hamtoingiza hata kiberiti bongo.
magu acha awanyooshe hawa kunyans
20200827_183426.jpg
 
Sawa wapimeni tu huku kwetu covid19 hakuna ilishakwisha.

Tatizo kila mkipimwa kwa nchi yoyote jirani mnakutwa nacho, ndio maana Uganda kaweka jeshi kabisa mpakani.
Yaani hapa tukija kuwaachia tutajuta sana balaa.
 
Tatizo kila mkipimwa kwa nchi yoyote jirani mnakutwa nacho, ndio maana Uganda kaweka jeshi kabisa mpakani.
Yaani hapa tukija kuwaachia tutajuta sana balaa.
Sasa hao wanaopimwa na kukutwa nacho kirusi cha korona mbona wanadunda fresh na wapo poa bila dalili yeyote na huku walikuwa wanajichanganya bila kuambukiza wowote? April-June kovid ilitutandika ila tulipiga nyungu,tulikula malimao,tangawizi,michai chai kwa wingi tukaitokomeza corona.
 
Kwenu huko haiwezekani kujua nani anadunda freshi au la maana hampimi, na kila anayeumwa hakuna anayediriki kusema anaumwa corona maana mlishaifanya aibu fulani hivi, inabaki siri ya ndani. Pona yenu ni kwamba corona haiui sana huku Afrika, maana hata sisi ambao hatujajichokea na tunaendelea kupima na kutangaza, vifo kwetu ni vichache ukilinganisha na maelfu ya wazungu wanaokufa kila siku.
 
Tatizo kila mkipimwa kwa nchi yoyote jirani mnakutwa nacho, ndio maana Uganda kaweka jeshi kabisa mpakani.
Yaani hapa tukija kuwaachia tutajuta sana balaa.
Vipi #covidmillionaires wanasemaje huko ? Safari hii Jayden kawaweza anahamisha calenda tu kukazia curfew, huku anapiga hela. Hata hizo karantini zenu nasikia zinakwepeka ukiwa na kitu kidogo.
 
Tatizo kila mkipimwa kwa nchi yoyote jirani mnakutwa nacho, ndio maana Uganda kaweka jeshi kabisa mpakani.
Yaani hapa tukija kuwaachia tutajuta sana balaa.
Hao Uganda tuliowasaidia kumwondoa idi amini huku museveni akiwa mkimbizi ndio unafikiri wana ubavu wa kutuwekea wanajeshi
 
Back
Top Bottom