Utalii wa ndani, Wakenya wafurika Pwani na kusababisha hoteli zote kujaa, hamna nafasi

Nna mpango wa kuja kenya naskia kuna slum mpya inaytwanga Shauri yako slum nije nijionee maajabu ya binadamu kuishi maisha ya funza [emoji23][emoji23]
 
Ss mnashindwa nn kubadili jangwa kuwa green c nyie mna uwezo kiuchumi wtf
 
Kuchafua meza[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Arusha ukienda msimu km huu unajikuta nikm uko kenya walai...

Kw traffic kwanza, magari ni KC tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanapafunika Arusha...

Halafu kuna kipindi nilikaa Arusha siku kadhaa nikashangaa Wakenya wengi wamewekeza sana kwenye biashara za vilabu.
 
Yaani ninyi si LDC ila mna tabia zote za LDC...
 
Yaani matusi kwenye uzi kisa eti wakenya wanatalii ndani ya nchi yao. 😕 Hiyo ndio defination kamili ya uchawi.
Mngejadili uzi wenu bila kuzungumzia Tanzania wala msingetuona kwenye huu uzi,
Lakini kwa sababu huwa mnawashwa washwa ilibidi tutie timu.
 
Mngejadili uzi wenu bila kuzungumzia Tanzania wala msingetuona kwenye huu uzi,
Lakini kwa sababu huwa mnawashwa washwa ilibidi tutie timu.
Kwahivyo upo kwenye jukwaa hili kwasababu kuna mkenya ameitaja Tz kwenye comment yake, hata sio kwenye mada ya uzi? Mbona nyuzi zipo nyingi, hapa Jf, ambapo watz wanaijadili Kenya ila hutaona hata mkenya mmoja kwenye majukwaa hayo? Yaani huli, hunywi na huogi, kazi ni kuwafata fata tu majirani eti ndio usikie wanasema nini kuwahusu. Hayo ni maisha ya kichawi pure, sitashangaa kusikia kwamba unafuga nyoka pia, na kobe na bundi!
 
Wamejazana kwenye mahoteli kungonoka.
 

Yaani mkilala mkiamka ni kuitaja taja Tanzania,
Popote utakapo itaja Tanzania sehemu isiyohusika nitakula sahani moja na wewe,
Mlitengenezewa hili jukwaa maalum kwa mambo ya kenya ila kwa sababu nyie huwa mnawashwa washwa mkaanza kushoboka na mambo ya Tanzania na ndio maana tupo humu.
 
Yaani mkilala mkiamka ni kuitaja taja Tanzania,
Popote utakapo itaja Tanzania sehemu isiyohusika nitakula sahani moja na wewe.
Haya basi, kwa raha zako. Ila jua kwamba baada ya muda dish lazima litayumba, kama la mwenzako Geza Ulole. Alafu upande wa pili maisha yataendelea tu kama kawa, wakenya wataendelea kufanya yao, bila kuzingatia feelings zako. Kenya itaendelea kusonga mbele na vidonda vyako vya tumbo vitaendelea kuongezeka. All the best man.
 
Ulikuwa uzi mzuri tu ila kwa sababu mnakuwaga na uwezo mdogo wa kufikiri mkasababisha uzi uwe mbaya,
Mngejadili uzi wenu bila kuitaja Tanzania hata msingeniona niki comment maana usinge nihusu.
 
Nani dish limeyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…