Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #21
Hapana sio kipato kizur wala mgonjwa bas mazoea tuMaji ya kilimanjaro ya ladha mbaya kama magadi, bora Uhai na Dew drop.
Unywaji wa maji ya chupa nyumbani ni dalili ya kuwa na kipato kizuri/kuwa mgonjwa mgonjwa.
Et kisima πππ dahMkuu nunua water dispenser weka ndani nunua kisima wawekee hapo
Unachelewa wewe.. Maji ni UdzungwaMaji ya kilimanjaro ya Dar ni tofauti na ya Arusha. Niliyanywa ya Dar aiseee kama ya kisimani kabisaβ¦
Dewdrop, Meru water is my favs⦠bado sijajaribu na yale ulinambia Certified Hater
Siyaoni madukaniUnachelewa wewe.. Maji ni Udzungwa
Sina cha kuyaelezea. Sifa zake zimeyatangulia
NitayajaribuUnachelewa wewe.. Maji ni Udzungwa
Sina cha kuyaelezea. Sifa zake zimeyatangulia
Au kisima hutumii mkuu?Et kisima πππ dah
Madukani uku hayapatikan kilimanjaro ndio yametapakaaUnaweza kujaribu Evian, Voss au Saratoga π
ungekuwa huna kipato kizuri unafikiri hayo mazoea yangekuwepo mkuu!Hapana sio kipato kizur wala mgonjwa bas mazoea tu
Hapa ya kwetu hayana chumvi.Haya maji ya Awsa yaliojaa chumvi ndio tuchemshe [emoji28]
Situmii ni maji ya bomba tuAu kisima hutumii mkuu?
Safi utakua na ushuhuda.Nitayajaribu
Ujaijua jf wwe kumbeungekuwa huna kipato kizuri unafikiri hayo mazoea yangekuwepo mkuu!
Nisikujue ase nakuuaBahati mbaya siku wafanyabiashara nao wanachukua hayohayo unayoyakwepa wanatia kwenye chupa wanafunga π
Huko si mnajikuta .Siyaoni madukani
Ongezeko la buku kwa katoni linahimilika mzeeCatoni 6000 uku kilimanjaro 5000