Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hizo nchi zimeachana na communist ideas. Wenyewe waliona hawatopiga hatua , wakaachana na mifumo hiyo waka adopt mix of mifumo ya kiutawala ndio wanaenda nayoKwahiyo China na Urusi hazijaendelea sababu nao walikua wajamaa?
Wewe Leo utashiba lakini wanaona na wajukuu inatakiwa uwafikirieUtalaumu soka bure. Watanzania hapa mjini wanashiba mno, si rahisi mtu anayepata chakula na anasehemu ya kulaza ubavu ukamshawishi akapigane na wanasiasa. Akitishiwa kidogo anaona ana la kupoteza.
Hapa mjini kuna sehemu unapata hii kwa Tsh 3000. Siku hii inapotea hili unalolitaka litawezekana kiwepesi mno.
View attachment 3119614
Kile kibatali kinaitwa mwenge wa uhuru kina mchango mkubwa katika huu ukondoo wa Watanganyika.Watanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi.
Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba mpya sio suala linalotuhisu kwakuwa unaamka asbh unapata mkate basi.
Bandari zinauzwa
Serengeti unaenda kuchimbwa madini, kwa baadae Serengeti haitakuwepo, tupo kimya, Sasa vizazi vyetu vitakuta nini? Vitatuona tulikuwa wajinga kiasi gani?
Rushwa serikalini imekuwa kubwa, mali za umma zinauzwa.
Utekaji na mauaji
Tunaona kawaida Kwa kuwa hatujatekwa au kuuliwa sisi au ndugu wa karibu
Huduma mbovu za kijamii
Shule hazina walimu na madawati. Hospital hakuna madawa, watu hawana bima. Maji hakuna, umeme wa uhakika haupo.
Bunge limekuwa kama sehemu ya kuimba mapambio. Bunge limewekwa mfukoni. Bunge la wananchi linatunga sheria za kuwakandamiza wananchi, rejea mambo ya tozo n.k. Tuko kimya tu.
Tujifunze Kenya wao wale sio makondoo kama Watanganyika
Utalaumu soka bure. Watanzania hapa mjini wanashiba mno, si rahisi mtu anayepata chakula na anasehemu ya kulaza ubavu ukamshawishi akapigane na wanasiasa. Akitishiwa kidogo anaona ana la kupoteza.
Hapa mjini kuna sehemu unapata hii kwa Tsh 3000. Siku hii inapotea hili unalolitaka litawezekana kiwepesi mno.
Boss, Tusidanganye, tuweke unafiki pembeni, Hii nchi ina wanasiasa wanaopigania maslahi ya kisiasa wanaoitwa wapinzani ila hakuna mtu wa kupambana na wanasiasa kwa maslahi ya mwananchi.Wewe Leo utashiba lakini wanaona na wajukuu inatakiwa uwafikirie
Serengeti unaleta maelfu ya watalii, Sasa inaondoshwa
Bandari zinauzwa
Masai ni wakimbizi kwenye nchi Yao
Tujiulize zaidi kuhusu kesho
Wazee wetu wangeharibu hata ugali samaki tusingekuwa tunakula
Duu nimess maziwa yaliyo oza, (mtindi)Utalaumu soka bure. Watanzania hapa mjini wanashiba mno, si rahisi mtu anayepata chakula na anasehemu ya kulaza ubavu ukamshawishi akapigane na wanasiasa. Akitishiwa kidogo anaona ana la kupoteza.
Hapa mjini kuna sehemu unapata hii kwa Tsh 3000. Siku hii inapotea hili unalolitaka litawezekana kiwepesi mno.
View attachment 3119614
Ukiwekewa glass ya maziwa ya mgando hapa na wito wa maandamano ya katiba pale unachagua nini mkuu? Sema ukweli.Duu nimess maziwa yaliyo oza, (mtindi)
Na Ubaya Ubwela bas ! ๐Kweli hawaifahamu
Lakini kanuni zote za FIFA wanazijua
Kwa wamama ntilie maeneo mbalimbali mkuu. Kama unaenda kwenye kibanda cha mama ntilie kila siku hashindwi kukupa na mengine ambayo hukutarajia, ndo yanayoendelea kwenye hii nchi.Wapi hii unaipta Mkuu.
Watu wakiwa na hakika ya shibe ni vigumu sana kusumbua..
Maendeleo ya vitu bila ya kuwepo kwa Haki, Uhuru na Demokrasia ni sawa na kazi bure, work done equal to zero!Kwahiyo China na Urusi hazijaendelea sababu nao walikua wajamaa?
Ona huyu naye!Katiba mpya ya kazi gani?..kenya wanna katiba mpya, matatizo yameisha!?..
Shibe kwanza, ukiwa na njaa huwezi kuamsha ubongo, binadamu huhifadhi anachosikia, ona, nusa, fundishwa hata kutishwa, binadamu akitaka ufumbuzi wa jambo lake hutafsiri kumbumbu alizo hifadhi na kupata jawabu uwezo wake wa kutafsiri ndiyo huitwa akili, kama hana alichohifadhi atakwenda kwa mtu mwingine na kutatua changamoto iliyojitokezaUkiwekewa glass ya maziwa ya mgando hapa na wito wa maandamano ya katiba pale unachagua nini mkuu? Sema ukweli.
Unategemea nini zaidi iwapo unaishi kwenye nchi ambayo biriani limetengewa hadi siku wanakuletea popote ule na mpishi wake? Kwamba kijana aliyeshiba biriani na kapewa na biriani jingine la kimwili atoke kupigana na polisi?Na Ubaya Ubwela bas ! ๐
Bora umesema kweli. Mzalendo mnafiki angejifanya ana hasira kweli na nchi yake kumbe tapeli tu na yeye anapigania kwenye keyboard akiwa na glasi yake ya maziwa.Shibe kwanza, ukiwa na njaa huwezi kuamsha ubongo, binadamu huhifadhi anachosikia, ona, nusa, fundishwa hata kutishwa, binadamu akitaka ufumbuzi wa jambo lake hutafsiri kumbumbu alizo hifadhi na kupata jawabu uwezo wake wa kutafsiri ndiyo huitwa akili
Walio wengi humu, tunapokaribia uchaguzi huwa wanahilisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima dataBora umesema kweli. Mzalendo mnafiki angejifanya ana hasira kweli na nchi yake kumbe tapeli tu na yeye anapigania kwenye keyboard akiwa na glasi yake ya maziwa.
๐๐ฎtumeona bora CCM iendelee
Hizo nchi zimeachana na communist ideas. Wenyewe waliona hawatopiga hatua , wakaachana na mifumo hiyo waka adopt mix of mifumo ya kiutawala ndio wanaenda nayo