Utambulisho wa Rushine De Reuck wanasimba wavutiwa na jezi

Utambulisho wa Rushine De Reuck wanasimba wavutiwa na jezi

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Simba wamemtambulisha rasmi Rushine De Reuck. - Nyota huyu wa kimataifa wa Afrika kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns anakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba.

1753854268633.png
Kilichowavutia watazamaji wengi katika chapisho Simba kumtambulisha mchezaji huyo katika ukurasa wao Instagram ni jezi iliyovaliwa na beki huyo. Wengi wanaoneka kutamani uzi huo utambulishwe rasmi waanze kutamba nao mitaani. Je, na wewe umevutiwa na nini katika utambulisho wa mchezaji wa Simba Rushine De Reuck!? ✍️

1753854242326.png
 
Back
Top Bottom