Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
Naunga mguu hoja sijawahi kupenda jezi za hawa triple "mbu" ila mwaka huu sio siri wana uzi mkali.
This is Simba 💪💪
Utakua ni fire on fire mkuuUzi ni mzuri halafu kinachokuja kushangaza zaidi ni pale ambapo umetajwa kuwa ni wa pre season sio uzi rasmi.
Sasa hii ndio inatupa maswali mengi je huo uzi rasmi utakuwa wa aina gani?
Acha bangiHakuna kitu hapo zaidi ya matangazo tu 🤗
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nadhani kuna kitu kimekosewa katika design. Hiyo JayRutty ingekaa walau nyuma ya kola badala ya kuweka maandishi mawili tofauti katika mabega. Kwenye design "symmetry" ni muhimu ili kuleta balance ya kimuonekano.
Tumekuwa tunawaambia Yanga jezi haihitaji mambo mengi. Tupo hapa kuwapa somo.Uzi mkali sheria ngowi ni haki afukuzwe hapa lazima turudi studio
Hapo ndio wataharibu sasa.Uzi ni mzuri halafu kinachokuja kushangaza zaidi ni pale ambapo umetajwa kuwa ni wa pre season sio uzi rasmi.
Sasa hii ndio inatupa maswali mengi je huo uzi rasmi utakuwa wa aina gani?
Unaweza kuonesha hiyo "quote"Yako unayowaambia yanga !?Tumekuwa tunawaambia Yanga jezi haihitaji mambo mengi. Tupo hapa kuwapa somo.
Ila heri matangazo kuliko ule wenu wa ramani ya vijiji na vibwengoYaani kama jezi za timu za Spain, uzi umebandikwa bandikwa maandishi kila upande...
Tumia vzr kitufe hiko hapo juu kimekaa ka lens. Utakutana na post nyingi nikiwaambia Yanga design zao zinapiga "kelele"Unaweza kuonesha hiyo "quote"Yako unayowaambia yanga !?
Ila heri matangazo kuliko ule wenu wa ramani ya vijiji na vibwengo