Inaonekana zile SÀNDA WALIZINGUA SANA MSIMU HUU MENO NJENJE😁Uzi ni mzuri halafu kinachokuja kushangaza zaidi ni pale ambapo umetajwa kuwa ni wa pre season sio uzi rasmi.
Sasa hii ndio inatupa maswali mengi je huo uzi rasmi utakuwa wa aina gani?

Unateseka ukiwa wapiii?Yani hivi ndo vitu vinavyoipa furaha Makolo,kkushinda mechi walaaaa!
Kweli Rage ajengewe sanamu.!
Sio kipaimara ni ndoa kabisaa.Uzi unafaa kabisa kuwa mtoko wa kipaimara
😂😂😂😂😂Uzi ni mzuri halafu kinachokuja kushangaza zaidi ni pale ambapo umetajwa kuwa ni wa pre season sio uzi rasmi.
Sasa hii ndio inatupa maswali mengi je huo uzi rasmi utakuwa wa aina gani?
Ila ule wenye ramani ya Africa na misukule na vibwengo vya dunia, aaaah.Yaani kama jezi za timu za Spain, uzi umebandikwa bandikwa maandishi kila upande...
Km uzi unakua na misukule, vibwengo, na ramani hovyo ya Africa, unavaliwa, ndo ishindikane wa matangazo?Usiwe biased!
Ukiondoa matangazo, uzi unakuwa mgumu kuvalika na mashabiki sababu ya matangazo kibao...
Ila heri matangazo kuliko ule wenu wa ramani ya vijiji na vibwengo
Kuotea mara moja mmekua Motivation Speakers tayari?Tumekuwa tunawaambia Yanga jezi haihitaji mambo mengi. Tupo hapa kuwapa somo.
Matangazo kibao.Jez ya next club world cup hii🔥🔥
Ubingwa, je!Uzi tunao na tunatamba nao!! 🔥🔥🔥🔥
Upooo!!Ubingwa, je!
Nye mna matangazo mangapi ndo uache kuwa biasedUsiwe biased!
Ukiondoa matangazo, uzi unakuwa mgumu kuvalika na mashabiki sababu ya matangazo kibao...
Hamna siku zote yanga wamekuwa mbele ya Simba kuhusu jersey ila hii ni nzuri ngoja tuone yanga wanakuja na design ganiTumia vzr kitufe hiko hapo juu kimekaa ka lens. Utakutana na post nyingi nikiwaambia Yanga design zao zinapiga "kelele"
Pamoja nao unachapwa nao nje ,nje ,nje ndaniSimba wamemtambulisha rasmi Rushine De Reuck. - Nyota huyu wa kimataifa wa Afrika kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns anakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba.
Kilichowavutia watazamaji wengi katika chapisho Simba kumtambulisha mchezaji huyo katika ukurasa wao Instagram ni jezi iliyovaliwa na beki huyo. Wengi wanaoneka kutamani uzi huo utambulishwe rasmi waanze kutamba nao mitaani. Je, na wewe umevutiwa na nini katika utambulisho wa mchezaji wa Simba Rushine De Reuck!? ✍️
Kama umeumia hiviPamoja nao unachapwa nao nje ,nje ,nje ndani
Kumbe pale fainalini walitua kama kunguru.
Matangazo ndo maokoto yenyewe sasa. Bila matangazo wachezaj si watashindia ujii!!Matangazo kibao.