Reo reo mbali mula fanya kesho 😃😃😃Ukiachana na jezi mimi naulizia hiyo kabutula shilingi ngapi hapa Mwanza Jiji nikaichukue reo reo!??
Si kesho si ni karibu kuliko reo reo? Basi ngoja nikaichukue kesho!!😀😀😀😀Reo reo mbali mula fanya kesho 😃😃😃
Mmeshamalizana na bil 87 za Mo?Yanga wameingia mkataba wa hovyo na sport pesa kama mkataba wa Chief mangungo wa msovero na carl peters
Aliyekuwa anashinda mechi na hatimaye kufika fainali ya CAF CC mwaka huu ni shangazi'ako ila siyo Simba?Yani hivi ndo vitu vinavyoipa furaha Makolo,kkushinda mechi walaaaa!
Kweli Rage ajengewe sanamu.!
Yanga wameingia mkataba wa hovyo na sport pesa kama mkataba wa Chief mangungo wa msovero na carl peters
Ogopa photoshop picha, ngoja uone live.
Hakuna kitu hapo zaidi ya matangazo tu 🤗