Utambulisho wa Rushine De Reuck wanasimba wavutiwa na jezi

Uzi ni mzuri halafu kinachokuja kushangaza zaidi ni pale ambapo umetajwa kuwa ni wa pre season sio uzi rasmi.

Sasa hii ndio inatupa maswali mengi je huo uzi rasmi utakuwa wa aina gani?
Inaonekana zile SÀNDA WALIZINGUA SANA MSIMU HUU MENO NJENJE😁
 
Uzi ni mzuri halafu kinachokuja kushangaza zaidi ni pale ambapo umetajwa kuwa ni wa pre season sio uzi rasmi.

Sasa hii ndio inatupa maswali mengi je huo uzi rasmi utakuwa wa aina gani?
😂😂😂😂😂
 
Yaani kama jezi za timu za Spain, uzi umebandikwa bandikwa maandishi kila upande...
Ila ule wenye ramani ya Africa na misukule na vibwengo vya dunia, aaaah.
😂😂😂😂😂 ila Uto jamaniii, mnateseka mkiwa wapiiiiiii???
 
Usiwe biased!

Ukiondoa matangazo, uzi unakuwa mgumu kuvalika na mashabiki sababu ya matangazo kibao...
Km uzi unakua na misukule, vibwengo, na ramani hovyo ya Africa, unavaliwa, ndo ishindikane wa matangazo?
😂😂😂😂😂😂 mabwakuu.
 
Usiwe biased!

Ukiondoa matangazo, uzi unakuwa mgumu kuvalika na mashabiki sababu ya matangazo kibao...
Nye mna matangazo mangapi ndo uache kuwa biased
 
Tumia vzr kitufe hiko hapo juu kimekaa ka lens. Utakutana na post nyingi nikiwaambia Yanga design zao zinapiga "kelele"
Hamna siku zote yanga wamekuwa mbele ya Simba kuhusu jersey ila hii ni nzuri ngoja tuone yanga wanakuja na design gani
 
Pamoja nao unachapwa nao nje ,nje ,nje ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…