Rosey Berry
Member
- May 1, 2018
- 62
- 48
Asante sanakaribu sana.
Sawa ukichokozwa humu nitag.Nna miaka 18
Shukran kaka Mbao za MaweSawa ukichokozwa humu nitag.
Mbona kama vile nakujua umekuja kivingine.Shukran kaka Mbao za Mawe
Karibu bintHabari wana jamii forum
Mimi ni new member nilijiunga humu since may 1 ila tu skuweza kutumia vizuri app but now kidogo nna uelewa jinsi ya kulog in, kuanzisha na kujibu threads.
Ningependa ushirikiano wenu as great thinkers.
Naombeni mnipokee mdogo wenu
SHUKRAN
Mmmmhhhh hapana kaka mimi ni mpya humu na ndo the first time kujiungaMbona kama vile nakujua umekuja kivingine.
Soon ntajiunga na kidato cha tanoUko darasa la ngapi binti? Welcome to forex by the way... "The way to financial freedom"
Asante kwa kunikaribishaSoon ntajiunga na kidato cha tano
asanteKaribu bint
Wa kimawazo nkHuo "ushirikiano" unaoutaka toka kwetu ni ushirikiano upi?
Hapana mimi studentUmeolewa?
Mbona kama mwongo hivi,jf huwa mastudents hawaielewi.Upo wapi?Mmhh
Hapana mimi student
Mmmmhhhh picha Tena jamanWeka picha ndo utaratibu wetu humu