Utambulisho

Utambulisho

1. JF uliijua lini?
2. Uliijuaje?
3. Kwa nini muda wote hukuwahi kujiunga?
4. Ni jukwaa gani hasa ambalo umekuwa ukilitembelea kama guest user?
5. Ni member yupi anayekuvutia kutokana na michango yake?
1.Niliijua jf 2013
2.niliijua kupitia kugoogle vitu mbalimbali ambapo sometimes nilikuwa nakutana na links ambazo zinanidirect jf.
3.nilikua naendelea kujifunza zaid kuhusu jamii forums kabla sijajiunga
4.mostly jukwaa la wanasheria, jukwaa LA dini... Biashara...chitchat etc
 
5. Kuna huyu member anaitwa mzizi mkavu nilikuwa napenda sana mada zake za afya
Other members mshana Jr...demiss
Napenda uchangiaji wao
 
1.Niliijua jf 2013
2.niliijua kupitia kugoogle vitu mbalimbali ambapo sometimes nilikuwa nakutana na links ambazo zinanidirect jf.
3.nilikua naendelea kujifunza zaid kuhusu jamii forums kabla sijajiunga
4.mostly jukwaa la wanasheria, jukwaa LA dini... Biashara...chitchat etc
Jukwaa la Dino uliingiaje wakati member aliyeruhusiwa ndio anaingia kule?
Elimu yako ni ipi?
 
Back
Top Bottom