Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Twende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha.
1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa anakudharau.
2. Ukiona mtu anataka umsindikize au uende naye kila sehemu, huku na kule jua kuwa anakudharau. Mtu anayekuheshimu atajua kuwa una muda wako na mambo yako. Nisindikize, nisindikize. Jua unadharauliwa.
3. Ukiona mtu anakupigia missed call zaidi ya mbili mfululizo, huyo anakudharau.
4. Mtu akikutumia emoji ya mshangao jua anakudharau.
5. Mtu akiwa anakukenulia mara kwa mara badala ya kutabasamu au kucheka, jua anakudharau.
6. Mtu akikukatisha uongeapo jua anakudharau.
7. Mtu akijidai yupo serious sana ukiwa naye, jua kuwa anakudharau.
8........................