Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imeenda 🤣🤣🤣ukiona mtu anakutafuta yeye halafu anakwambia "nambiye"
Sana mkuuHii ni dharau ya rejareja.
Daah!Ukiona wewe umelinda bandari zako tangu uhuru alafu anakuja wakuja na kumpa mjomba wake kama zawadi ujue anakudharau sana!
Weee nae[emoji706]Daah!
Hivi hii imeingiaje hapa!??
Wakuu sijui mnakulaga nini humu! 🥱
Nambar 2 na 6 ni kweli kabisaTwende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha.
1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa anakudharau.
2. Ukiona mtu anataka umsindikize au uende naye kila sehemu, huku na kule jua kuwa anakudharau. Mtu anayekuheshimu atajua kuwa una muda wako na mambo yako. Nisindikize, nisindikize. Jua unadharauliwa.
3. Ukiona mtu anakupigia missed call zaidi ya mbili mfululizo, huyo anakudharau.
4. Mtu akikutumia emoji ya mshangao jua anakudharau.
5. Mtu akiwa anakukenulia mara kwa mara badala ya kutabasamu au kucheka, jua anakudharau.
6. Mtu akikukatisha uongeapo jua anakudharau.
7. Mtu akijidai yupo serious sana ukiwa naye, jua kuwa anakudharau.
8........................