Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu unamcheki PM halafu anakukaushia..[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuu
Unaingia na gia mbaya ndio maana😂Inauma sana😅
Heheheeeee...uuuuwwwii.Twende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha.
1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa anakudharau.
2. Ukiona mtu anataka umsindikize au uende naye kila sehemu, huku na kule jua kuwa anakudharau. Mtu anayekuheshimu atajua kuwa una muda wako na mambo yako. Nisindikize, nisindikize. Jua unadharauliwa.
3. Ukiona mtu anakupigia missed call zaidi ya mbili mfululizo, huyo anakudharau.
4. Mtu akikutumia emoji ya mshangao jua anakudharau.
5. Mtu akiwa anakukenulia mara kwa mara badala ya kutabasamu au kucheka, jua anakudharau.
6. Mtu akikukatisha uongeapo jua anakudharau.
7. Mtu akijidai yupo serious sana ukiwa naye, jua kuwa anakudharau.
8........................
Nipe mbinu basi nafeli sana huko PM😥Unaingia na gia mbaya ndio maana😂
Unaanzaga na hai au hei😂😂😂Nipe mbinu basi nafeli sana huko PM😥
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniUkiona wewe umelinda bandari zako tangu uhuru alafu anakuja wakuja na kumpa mjomba wake kama zawadi ujue anakudharau sana!
Naanzaga na Hi mchumba basi sijibiwi😥Unaanzaga na hai au hei😂😂😂
Unafeli sana hapo
Kuna singo maza mbagala anatabia kama hizi.duuuuuh Kuna demu hua nakuta missed call 21
Vigezo vyako sio..Twende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha.
1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa anakudharau.
2. Ukiona mtu anataka umsindikize au uende naye kila sehemu, huku na kule jua kuwa anakudharau. Mtu anayekuheshimu atajua kuwa una muda wako na mambo yako. Nisindikize, nisindikize. Jua unadharauliwa.
3. Ukiona mtu anakupigia missed call zaidi ya mbili mfululizo, huyo anakudharau.
4. Mtu akikutumia emoji ya mshangao jua anakudharau.
5. Mtu akiwa anakukenulia mara kwa mara badala ya kutabasamu au kucheka, jua anakudharau.
6. Mtu akikukatisha uongeapo jua anakudharau.
7. Mtu akijidai yupo serious sana ukiwa naye, jua kuwa anakudharau.
8........................
Umechanganya vitu hata ambavyo sivyo nadhani umnyonge sana vipi pesa unazo au unajitafutaTwende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha.
1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa anakudharau.
2. Ukiona mtu anataka umsindikize au uende naye kila sehemu, huku na kule jua kuwa anakudharau. Mtu anayekuheshimu atajua kuwa una muda wako na mambo yako. Nisindikize, nisindikize. Jua unadharauliwa.
3. Ukiona mtu anakupigia missed call zaidi ya mbili mfululizo, huyo anakudharau.
4. Mtu akikutumia emoji ya mshangao jua anakudharau.
5. Mtu akiwa anakukenulia mara kwa mara badala ya kutabasamu au kucheka, jua anakudharau.
6. Mtu akikukatisha uongeapo jua anakudharau.
7. Mtu akijidai yupo serious sana ukiwa naye, jua kuwa anakudharau.
8........................
Ndio maana basi😂Naanzaga na Hi mchumba basi sijibiwi😥
Nianze na shikamoo au?🥺Ndio maana basi😂
Badilisha tactics utajibiwa
Anza na Habari yako mrembo😂😂Nianze na shikamoo au?🥺