Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda peku alafu uje utupe majibu.Hivi mpaka leo bado kuna ukimwi/I mean maambukizi mapya?
Ni kweliii kabisaaa mkuu, hasa hapo kwenye matumizi ya fedha ndio kabisaaa hawana cha kupoteza wala hawawazii kuhusu kesho.Wanawake wanakuwa na mahips makubwa.....na makalio yaliyobinuka kidogo.....
Wanaume wanakuwa wanapenda kuvaa mavazi ya kuvutia na kuendesha magari ya kifahari huku wakiwa na matumizi mabaya ya pesa kwenye manunuzi yao.....
Hili swali napenda sana deception alione anaweza kutujuza zaidiHivi mpaka leo bado kuna ukimwi/I mean maambukizi mapya?
Anakuwa na sura kama maji ya bluu [emoji28]leo nataka tufahamu namna ya kuwatambua waadhirika wa ukimwi kwa nje mfano huwa wanakonda, kikohozi kisichokua n kikomo hata nywele kubadilika hata hawa wanaotumia ARVs. huwa ngozi inabadilika japo wanabaki wanene pia vidonda na mabaka kibao.
hii ni njia awali kabisa ya kumhisi mtu mwathirika ukimwi ila sio ya uhakika wengine wanazaliwa navyo na wako active dalili zinaluja kuonekana after 20yrs+... pia kuna type yawatu ambao hawapati ukimwi hata walale n waathirika wngapi BUT vijidudu vinakua mwilini vina flow hata wakipimwa havionekani so kuna kua hamna reaction kati ya damu na virus kwa kitalaamu nimesahau majina ya hawa watu. hivyo wapendwa tusali sana kwani dunia ngumu Mungu na atulinde kwa kweli na vipimo vyetu huonyesha majibu baada ya miezi mi3 na zaid depending on body immunity ya mtu hapa nako panahitaji maombi na ulinzi wa Mungu.
hivyo wapendwa natamani tuelimishane pia tuwasaidie na jamii inayotuzunguka kwa kutumia huu uzi.
madokta, wataalamu mbali mbali na walioyaona haya tupeni utaalamu. vizazi vingi vimepotea kaburini sababu ya vitu vyetu pendwa (mapenzi/mahaba) yanjngono inayosambaza Ukimwi na kuchangia damu.
natanguliza shukrani
Ishu nikuacha zinaa na siyo kutafuta alama za HIV + or - kwenye nyuso za wadada! Kumbuka kunguru mjanja hunaswa na tundu bovu!imagine mkuu mmekutana tuu labda mkutanoni aubsafarini unaahidiwa mzigo utajuaje kwa kumpiga jich0???
Kwa hiyo unamkubali Dr Sebi?Nimesoma articles za huyu Dr MziziMkavu, anasema kwanza mixture ya starch na protein is the foundation of all diseases in the body.