Utamtambuaje muathirika wa UKIMWI kwa kumwangalia?

Utamtambuaje muathirika wa UKIMWI kwa kumwangalia?

Wengi wanakua na lips ambzo azina afya pmja na fangasi za mdomon
 
ha ha haaaaaaa! majibu ya wadau bhana.nimecheka sana
 
Kuna namna kama we ni mwana intelligensia wa kiwango cha juu, ukimuangalia mtu machoni utafaham. Kama unaongea naye hawezi kuongea straight na kwa utulivu. kila baada ya mda kwenye maongezi lazima ashtuke kidogo kama kitu kinamfadhaisha then anarudi normal.

Nili observe hichi kitu mwenyewe kwa watu kama wawili. Ambao nilikuja ku confirm ni kweli.

So, huwa hawana utulivu kwenye macho, wanakuwa na hali ya kushtukashtuka kwa hofu.

Ukitaka ku prove hiki kitu, kwa mwanaume ambaye amewahi kufanya sex na kahaba halafu mfano ndom ikapasuka. Baada ya tukio anakuwa ana behave this way. Yaani anakuwa kwenye hali ya kufadhaika ambayo ndo hiyo ukiwa makini utaiona kwenye macho maana anakuwa ana feel hana security tena.

So mi nikishaona hii kitu kwa mtu maana nakuwaga makini sana kwenye maongezi kwa kumuangalia mtu husoni. Huwa tayari najua huyu atakuwa na shida fulani hata kama sio ugonjwa ila ni kitu ambacho ni serious.
 
Wanawake wanakuwa na mahips makubwa.....na makalio yaliyobinuka kidogo.....

Wanaume wanakuwa wanapenda kuvaa mavazi ya kuvutia na kuendesha magari ya kifahari huku wakiwa na matumizi mabaya ya pesa kwenye manunuzi yao.....
Ni kweliii kabisaaa mkuu, hasa hapo kwenye matumizi ya fedha ndio kabisaaa hawana cha kupoteza wala hawawazii kuhusu kesho.


Ila ningependa sana nimkaribishe bwana Deception kwenye hii mada huwa ana mengii saana tusio yajua kwenye mada kma hizi.
 
Kwa kipindi cha nyuma takribani kama mlongo mmoja na nusu uliopita, ilikuwa ni rahisi sana kimtambua mwenye VVU hata kwa kumwangalia tu kwa macho, lakini kwa sasa hivi imekuwa ni vigumu sana kumtambua kwa walio wengi labda kama ukimkuta ndio anamalizia uhai wake muda ambao ndio dalili zote ujionyesha, na hii inatokana na ongezeko la matumizi ya ARVs pamoja na elimu juu ya kuishi na virusi vya ukimwi.

Imekuwa ni ngumu kumtambua mtu mwenye ngwengwe japo idadi imeongezeka na hasa kwa mgonjwa anaezizingatia maelekezo yote ya kitaalamu bila kupuuzia hata kidogo.
Cha msingi ni kuwa makini kwanzia kwenye vitu vidogodogo unavyotumia kama wembe,pini,vijiko na hata mashine za kunyolea nywele unazozikuta saluni sio za kuamini sana. Kubwa zaidi usichezeee game yoyote ile na usiyemwamini kondomu haikuhakikishii wewe kuwa salama 100%.
 
leo nataka tufahamu namna ya kuwatambua waadhirika wa ukimwi kwa nje mfano huwa wanakonda, kikohozi kisichokua n kikomo hata nywele kubadilika hata hawa wanaotumia ARVs. huwa ngozi inabadilika japo wanabaki wanene pia vidonda na mabaka kibao.
hii ni njia awali kabisa ya kumhisi mtu mwathirika ukimwi ila sio ya uhakika wengine wanazaliwa navyo na wako active dalili zinaluja kuonekana after 20yrs+... pia kuna type yawatu ambao hawapati ukimwi hata walale n waathirika wngapi BUT vijidudu vinakua mwilini vina flow hata wakipimwa havionekani so kuna kua hamna reaction kati ya damu na virus kwa kitalaamu nimesahau majina ya hawa watu. hivyo wapendwa tusali sana kwani dunia ngumu Mungu na atulinde kwa kweli na vipimo vyetu huonyesha majibu baada ya miezi mi3 na zaid depending on body immunity ya mtu hapa nako panahitaji maombi na ulinzi wa Mungu.
hivyo wapendwa natamani tuelimishane pia tuwasaidie na jamii inayotuzunguka kwa kutumia huu uzi.
madokta, wataalamu mbali mbali na walioyaona haya tupeni utaalamu. vizazi vingi vimepotea kaburini sababu ya vitu vyetu pendwa (mapenzi/mahaba) yanjngono inayosambaza Ukimwi na kuchangia damu.
natanguliza shukrani
Anakuwa na sura kama maji ya bluu [emoji28]
 
introduction of ART imepunguza maambukizi kwa asilimia kubwa ila watoto,wanawake na wanao fanya mapenzi kinyume na maumbile ndo jamii ilio hatarini zaidi,kwa mwanamke anaetumia kwa usahihi ARVs anaweza kuzuia maambukizi kwenda kwa mwenza in 80% hii nikwamujibu wa WHO resaerch ya 2011 kama sijakosea,pia kunanjia kadhaa mfano za kutumia vilainishi wakati watendo kama ky jelly hupunguza uwezekano wakupata maambukizi ya HIV
NB;kuna magonjwa hatari zaidiya UKIMWI yanayosababishwa na ngono kama kansa ya kizazi cervical cancer,wanaume ndio carrier wa hawa wadudu..tuwe makini
 
Msijidanganye Huwezi kumtambua kirahisi mtakufa. na acheni michezo ya kukaa na vipimo ghetto ukipata mpenzi mkiwa ghetto mnapimana ikishow negative mnadandiana Bila condom papo kwa papo mtakufaaa
 
Du wewe ,upo safar nini mmegusana na mtu akakychoma!?Tumia condom au tumia dawa inaitwa take risk!
 
Akibatasamu tu kimahaba jua anao anataka kukupunguzia dozi
 
Back
Top Bottom