Utamtambuaje muathirika wa UKIMWI kwa kumwangalia?

Utamtambuaje muathirika wa UKIMWI kwa kumwangalia?

swali lako zuri lakn kama umeshagundua ni kwamba majibu yake yateleta unyanyapaa katika jamii, hawa watu hawatapenda kuish tena na weng wao wataishia kujiua au kufa kwa mawazo kama zamani,
 
Mie mtu akinipa HI tuu najua anao anataka kunipa naanza kununa,au najitoa fahamu sijui anaongea nini..
 
Kuna mtu ameniambia kuwa kama ana makovu huwa meusi sana kuliko kawaida
 
"Utamtambuaje muathirika wa ukimwi kwa kumwangalia"

Swali lako zuri sana ila majibu ya wadau ndiyo sheeeedar!!
Dawa za ARV zina side effects ambazo zinaonekana kwa macho.Mfano mtu anaweza kuwa anaitumia dawa flani akapata pigmentation kwenye viganja na nyayo au kwenye kucha.Pia dawa zingine husababisha uvimbe kama wa ng'ombe (buffalo hump)

Na kadhalika na kadhalika

NB:Ukikutana na mtu mwenye alama hizo sio lazima awe kwenye ART,wengine ndivyo walivyozaliwa au ni matokeo ya sababu zingine

Epuka unyanyapaa
 
Ni kweliii kabisaaa mkuu, hasa hapo kwenye matumizi ya fedha ndio kabisaaa hawana cha kupoteza wala hawawazii kuhusu kesho.


Ila ningependa sana nimkaribishe bwana Deception kwenye hii mada huwa ana mengii saana tusio yajua kwenye mada kma hizi.

Shule anayotoa Deception huwa ni nzuri na ina reasoning ya hali ya juu

Tatizo ni kuwa,kwenye field huku mambo ni tofauti,theory zake zinakataa kabisa

Nakumbuka aliombwa afanyiwe injection ya damu ya AIDS patient mwenye viral load ya kutosha jamaa hakukubali
 
Fafanua mkuu

Yani tunakula ugali na maharagwe au nyama zikimix ndio maana tunaugua?
Nimesoma articles za huyu Dr MziziMkavu, anasema kwanza mixture ya starch na protein is the foundation of all diseases in the body.
 
We are all walking dead bodies...juzi tu nimetoka kuhudhuria mazishi ya Binti wa miaka 23
Amepooteza maisha kwa kugongwa na gari
Kifo hakiepukiki hata ufanyaje...tumrudie muumba kwa wale wenye kuamini
 
najua hapa kuna watu mbalimbali na madokta na ma nesi ndo usiseme so thats why sijaiweka Jf doctor. Im sorry.
leo nataka tufahamu namna ya kuwatambua waadhirika wa ukimwi kwa nje mfano huwa wanakonda, kikohozi kisichokua n kikomo hata nywele kubadilika hata hawa wanaotumia ARVs. huwa ngozi inabadilika japo wanabaki wanene pia vidonda na mabaka kibao.
hii ni njia awali kabisa ya kumhisi mtu mwathirika ukimwi ila sio ya uhakika wengine wanazaliwa navyo na wako active dalili zinaluja kuonekana after 20yrs+... pia kuna type yawatu ambao hawapati ukimwi hata walale n waathirika wngapi BUT vijidudu vinakua mwilini vina flow hata wakipimwa havionekani so kuna kua hamna reaction kati ya damu na virus kwa kitalaamu nimesahau majina ya hawa watu. hivyo wapendwa tusali sana kwani dunia ngumu Mungu na atulinde kwa kweli na vipimo vyetu huonyesha majibu baada ya miezi mi3 na zaid depending on body immunity ya mtu hapa nako panahitaji maombi na ulinzi wa Mungu.
hivyo wapendwa natamani tuelimishane pia tuwasaidie na jamii inayotuzunguka kwa kutumia huu uzi.
madokta, wataalamu mbali mbali na walioyaona haya tupeni utaalamu. vizazi vingi vimepotea kaburini sababu ya vitu vyetu pendwa (mapenzi/mahaba) yanjngono inayosambaza Ukimwi na kuchangia damu.
natanguliza shukrani
Samahani mkuu muadhirika=muathirika
 
Fafanua mkuu

Yani tunakula ugali na maharagwe au nyama zikimix ndio maana tunaugua?

Damu inatakiwa iwe na test ya alkaline
Fafanua mkuu

Yani tunakula ugali na maharagwe au nyama zikimix ndio maana tunaugua?
Damu ya mwili inatakiwa iwe alkaline kwa kiwango cha 44-147 units/liter na acidic level ya damu inatakiwa iwe pH7. Vyakula kama red meat, na vyakula vya wanga in general (ugali, wali, chapatti, mihogo, viazi) vinaongeza acidic level kwenye damu. pH ikiwa kubwa na mazalio mazuri ya magonjwa kwenye damu. Dr Sebi anashauri watu wale vitu vya asili, kama utaweza kula chakula raw, kama kutafuna karanga mbichi, nuts zote, chai bila sukari, honey anasema ni nzuri, matunda, salad, maparachichi nk.
Diet yake inasaidia sana kutoa mafuta mwilini.
 
Back
Top Bottom