Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Sijawahi vaa mamipira yenu maisha yangu yote.Na mkononi nina mechi za kutosha,na siumwiNenda peku alafu uje utupe majibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi vaa mamipira yenu maisha yangu yote.Na mkononi nina mechi za kutosha,na siumwiNenda peku alafu uje utupe majibu.
InauzwajeDu wewe ,upo safar nini mmegusana na mtu akakychoma!?Tumia condom au tumia dawa inaitwa take risk!
Dawa za ARV zina side effects ambazo zinaonekana kwa macho.Mfano mtu anaweza kuwa anaitumia dawa flani akapata pigmentation kwenye viganja na nyayo au kwenye kucha.Pia dawa zingine husababisha uvimbe kama wa ng'ombe (buffalo hump)"Utamtambuaje muathirika wa ukimwi kwa kumwangalia"
Swali lako zuri sana ila majibu ya wadau ndiyo sheeeedar!!
Ni kweliii kabisaaa mkuu, hasa hapo kwenye matumizi ya fedha ndio kabisaaa hawana cha kupoteza wala hawawazii kuhusu kesho.
Ila ningependa sana nimkaribishe bwana Deception kwenye hii mada huwa ana mengii saana tusio yajua kwenye mada kma hizi.
Nimesoma articles za huyu Dr MziziMkavu, anasema kwanza mixture ya starch na protein is the foundation of all diseases in the body.
imagine mkuu mmekutana tuu labda mkutanoni aubsafarini unaahidiwa mzigo utajuaje kwa kumpiga jich0???
kitimoto ni jadi yetu,sasa ina maana tumeshaukwaa?ukiona mtu anakula sana kitimoto nayo ni dalili mojawapo sababu yale mafuta yanamfanya yule mdudu(virus)akose nguvu ya kupunguza cdfour..
ni tabia ya kawaida ya uvimbe katika mwili mf mguuni.!
!
Ukimbonyeza anabonyea halafu tundu la mbonyeo linachelewa kurudi katika hali ya kawaida
hapana mkuu nachukulia pichakwa hyo we mkuu mtu umekutana naye leo unataka kupiga mechi dry??
Samahani mkuu muadhirika=muathirikanajua hapa kuna watu mbalimbali na madokta na ma nesi ndo usiseme so thats why sijaiweka Jf doctor. Im sorry.
leo nataka tufahamu namna ya kuwatambua waadhirika wa ukimwi kwa nje mfano huwa wanakonda, kikohozi kisichokua n kikomo hata nywele kubadilika hata hawa wanaotumia ARVs. huwa ngozi inabadilika japo wanabaki wanene pia vidonda na mabaka kibao.
hii ni njia awali kabisa ya kumhisi mtu mwathirika ukimwi ila sio ya uhakika wengine wanazaliwa navyo na wako active dalili zinaluja kuonekana after 20yrs+... pia kuna type yawatu ambao hawapati ukimwi hata walale n waathirika wngapi BUT vijidudu vinakua mwilini vina flow hata wakipimwa havionekani so kuna kua hamna reaction kati ya damu na virus kwa kitalaamu nimesahau majina ya hawa watu. hivyo wapendwa tusali sana kwani dunia ngumu Mungu na atulinde kwa kweli na vipimo vyetu huonyesha majibu baada ya miezi mi3 na zaid depending on body immunity ya mtu hapa nako panahitaji maombi na ulinzi wa Mungu.
hivyo wapendwa natamani tuelimishane pia tuwasaidie na jamii inayotuzunguka kwa kutumia huu uzi.
madokta, wataalamu mbali mbali na walioyaona haya tupeni utaalamu. vizazi vingi vimepotea kaburini sababu ya vitu vyetu pendwa (mapenzi/mahaba) yanjngono inayosambaza Ukimwi na kuchangia damu.
natanguliza shukrani
Fafanua mkuu
Yani tunakula ugali na maharagwe au nyama zikimix ndio maana tunaugua?
Damu ya mwili inatakiwa iwe alkaline kwa kiwango cha 44-147 units/liter na acidic level ya damu inatakiwa iwe pH7. Vyakula kama red meat, na vyakula vya wanga in general (ugali, wali, chapatti, mihogo, viazi) vinaongeza acidic level kwenye damu. pH ikiwa kubwa na mazalio mazuri ya magonjwa kwenye damu. Dr Sebi anashauri watu wale vitu vya asili, kama utaweza kula chakula raw, kama kutafuna karanga mbichi, nuts zote, chai bila sukari, honey anasema ni nzuri, matunda, salad, maparachichi nk.Fafanua mkuu
Yani tunakula ugali na maharagwe au nyama zikimix ndio maana tunaugua?
Labda awe na lishe mbovu Kuna la jamaa nafanya nalo Kazi khaaaaaaa SISI Tu ndo tunajua anaumwa aanang'aa balaawanasema ngozi hupakua hata kama mnene
lina mda gani mkuuLabda awe na lishe mbovu Kuna la jamaa nafanya nalo Kazi khaaaaaaa SISI Tu ndo tunajua anaumwa anaagana balaa
Haha acha Imani ya kishirikina hii[emoji15] [emoji15] [emoji57]  saa.... utapoanza kuhara ndo utajua ngwengwe haiangalii group ya damuSisi wa group O la damu hatupati ukimwi hata tugegedana Bare