[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana ugonjwa wowote ngada tu ndio inampelekesha.
Asipopiga yuko poa kabisaaa shida akishagusa yaani anajiona kama vile bakhresa tena ukiwa unamsifia sifia anakupa lorry moja utachagua mwenyewe kama ni scania, daf au benz.
Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mla ganja ukitaka kumjua chunguza ukubwa wa nguna(ugali) anayofukia hasa hasa akipata dagaa la kukaanga na kachumbali au muwekee makande uone balaa lake, pia zunguukia site za ujenzi uone wale wavurugaji zege wale wakipuliza basi zege halilali.
Unavuta kwa usahihi kabisa... [emoji106][emoji106][emoji115][emoji123]sasa hivi nikivuta ndum nakuwa kama nafanya astral projection, ani kuna viungo vya mwili sivioni wala sivihisi kabiasa hadi naogopa,
kwanza nahisi kama naungua hivii moto mkaliii ambao hauunguzi then naanza kuona miguu imepotea kimambo ani sielewi nikikaa stance ya kumeditate najikuta naanza kuona past events zangu kama zote, au mda mwingine manondo ya Agriculture Vs Biology yanajirudia kichwani from a_z kwa mpangilio bila kuruka stage mkuu, sijui ni hali gani hiyo wavuta ndum wenzangu ,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee nimecheka sana we mtusasa hivi nikivuta ndum nakuwa kama nafanya astral projection, ani kuna viungo vya mwili sivioni wala sivihisi kabiasa hadi naogopa,
kwanza nahisi kama naungua hivii moto mkaliii ambao hauunguzi then naanza kuona miguu imepotea kimambo ani sielewi nikikaa stance ya kumeditate najikuta naanza kuona past events zangu kama zote, au mda mwingine manondo ya Agriculture Vs Biology yanajirudia kichwani from a_z kwa mpangilio bila kuruka stage mkuu, sijui ni hali gani hiyo wavuta ndum wenzangu ,
nipo serious mkuu unachukulia utani, ??
ipo siku nahisi nitatoweka kabisa mkuu maana kama miguu nakuwa siioni , mpaka kwenye mapaja baadae nakuwa invisible kabisa ππππππππππUnavuta kwa usahihi kabisa... [emoji106][emoji106][emoji115][emoji123]
Jr[emoji769]
Unavyosema ukivuta huoni wala kusikia viuongo..aisee ni balaa. Natumia but sijawahi hisi hiyo hali. Mimi nikitumia nakuwa na mawazo mazuri sana yaana napangilia mambo na kujenga maghorofa kichwani, hapana chezea!nipo serious mkuu unachukulia utani, ??
kwako vyema mkuu ila hii kitu imeanza juzi tuu baada ya kuweka mkazo kwenye meditation ,na astral projection ila mara nyingi naishia kulala tuu baada ya viungo kuanza kupotea, maana huwa na vuta nyakati za usiku asubuh mara 1 moja sanaaUnavyosema ukivuta huoni wala kusikia viuongo..aisee ni balaa. Natumia but sijawahi hisi hiyo hali. Mimi nikitumia nakuwa na mawazo mazuri sana yaana napangilia mambo na kujenga maghorofa kichwani, hapana chezea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi jaribu meditation. Nitajifunzakwako vyema mkuu ila hii kitu imeanza juzi tuu baada ya kuweka mkazo kwenye meditation ,na astral projection ila mara nyingi naishia kulala tuu baada ya viungo kuanza kupotea, maana huwa na vuta nyakati za usiku asubuh mara 1 moja sanaa
Mla ganja ukitaka kumjua chunguza ukubwa wa nguna(ugali) anayofukia hasa hasa akipata dagaa la kukaanga na kachumbali au muwekee makande uone balaa lake, pia zunguukia site za ujenzi uone wale wavurugaji zege wale wakipuliza basi zege halilali.
πππππππwe nawe unaamua kuutuchekesha hapa πππNna uncle wng yeye akivuta hua ananunua malori, anajenga maghorofa yake, anafungua na kiwanda.
Kuna siku bana sijui alikua kitu cha wapi akaja na mafundi home kwenye nyumba yao ya urithi wakavunja nyumba yote ili ajenge ghorofa halafu mfukoni alikua na buku mbili mia nane tu.
Maendeleo hayana chama
Kweli money wala sio utani ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we nawe unaamua kuutuchekesha hapa [emoji23][emoji23][emoji23]