Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #201
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana ugonjwa wowote ngada tu ndio inampelekesha.
Asipopiga yuko poa kabisaaa shida akishagusa yaani anajiona kama vile bakhresa tena ukiwa unamsifia sifia anakupa lorry moja utachagua mwenyewe kama ni scania, daf au benz.
Maendeleo hayana chama
Jr[emoji769]