Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Hana ugonjwa wowote ngada tu ndio inampelekesha.
Asipopiga yuko poa kabisaaa shida akishagusa yaani anajiona kama vile bakhresa tena ukiwa unamsifia sifia anakupa lorry moja utachagua mwenyewe kama ni scania, daf au benz.

Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20181231_193552.jpeg

Jr[emoji769]
 
Mla ganja ukitaka kumjua chunguza ukubwa wa nguna(ugali) anayofukia hasa hasa akipata dagaa la kukaanga na kachumbali au muwekee makande uone balaa lake, pia zunguukia site za ujenzi uone wale wavurugaji zege wale wakipuliza basi zege halilali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
sasa hivi nikivuta ndum nakuwa kama nafanya astral projection, ani kuna viungo vya mwili sivioni wala sivihisi kabiasa hadi naogopa,

kwanza nahisi kama naungua hivii moto mkaliii ambao hauunguzi then naanza kuona miguu imepotea kimambo ani sielewi nikikaa stance ya kumeditate najikuta naanza kuona past events zangu kama zote, au mda mwingine manondo ya Agriculture Vs Biology yanajirudia kichwani from a_z kwa mpangilio bila kuruka stage mkuu, sijui ni hali gani hiyo wavuta ndum wenzangu ,
 
Unavuta kwa usahihi kabisa... [emoji106][emoji106][emoji115][emoji123]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee nimecheka sana we mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavuta kwa usahihi kabisa... [emoji106][emoji106][emoji115][emoji123]

Jr[emoji769]
ipo siku nahisi nitatoweka kabisa mkuu maana kama miguu nakuwa siioni , mpaka kwenye mapaja baadae nakuwa invisible kabisa 😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭
 
Unavyosema ukivuta huoni wala kusikia viuongo..aisee ni balaa. Natumia but sijawahi hisi hiyo hali. Mimi nikitumia nakuwa na mawazo mazuri sana yaana napangilia mambo na kujenga maghorofa kichwani, hapana chezea!

Sent using Jamii Forums mobile app
kwako vyema mkuu ila hii kitu imeanza juzi tuu baada ya kuweka mkazo kwenye meditation ,na astral projection ila mara nyingi naishia kulala tuu baada ya viungo kuanza kupotea, maana huwa na vuta nyakati za usiku asubuh mara 1 moja sanaa
 
Kuongea kwa msisitizo yaan kurudia Maneno kwa mfano " nakukubal mwananang itabid aseme nakukubal mwanang , nakukubal mwanang
[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji106][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Mla ganja ukitaka kumjua chunguza ukubwa wa nguna(ugali) anayofukia hasa hasa akipata dagaa la kukaanga na kachumbali au muwekee makande uone balaa lake, pia zunguukia site za ujenzi uone wale wavurugaji zege wale wakipuliza basi zege halilali.

kuuuumbeeee
 
Nna uncle wng yeye akivuta hua ananunua malori, anajenga maghorofa yake, anafungua na kiwanda.
Kuna siku bana sijui alikua kitu cha wapi akaja na mafundi home kwenye nyumba yao ya urithi wakavunja nyumba yote ili ajenge ghorofa halafu mfukoni alikua na buku mbili mia nane tu.

Maendeleo hayana chama
😂😂😂😂😂😂😂we nawe unaamua kuutuchekesha hapa 😂😂😂
 
I used to smoke ganja just for three days lakini nilikuwa nasizi karibia kila aliyeniona alijua nishavuta.
 
Kama kuna kazi, nikila kaya, ninaofanya nao kazi wajiandae! Sichoki kamwe na nafanya mambo kwa usahihi sana.... Kama ni zoezi aisee inakua ni drill kweli kweli.
Haijawai niangusha.
 
Back
Top Bottom