mimi huwa nakula chakula kingi sana nikishapiga weed,halafu huwa sipendi kujichanganya wala kuongeaa na mtu nikiwa high,huwa nakaaga gheto nashika pad nacheza video games hasa fifa na kama umeme umekatika natafuta sehemu nakaa natulia mwenyewe.Alafu nimesahau swali uliouliza niko high sana nadhani, wapiga holy herb huwa ni wacheshi sana haswa anapotoka kipiga kitu pia appetite ya kula inakuwa iko juu sana wengine tunakuwa tupo active kwenye kila kitu
mimi huwa nakula chakula kingi sana nikishapiga weed,halafu huwa sipendi kujichanganya wala kuongeaa na mtu nikiwa high,huwa nakaaga gheto nashika pad nacheza video games hasa fifa na kama umeme umekatika natafuta sehemu nakaa natulia mwenyewe.
nikiwaga na kazi ngumu au kuna mtu kanitibua akili huwa napigaga weed kwanza halafu kinachofuta hapo....hili jani halijawai kuniangusha.
It's now ten years since I stopped, Kwanzaa kweli uvutaji wa marijuana ni rahisi kuacha so kama Sigara, think because haina nicotine addiction.I use to smoke weed for 18year's
inabidi ukubali kua kuna watu unaeza kuwajua kama wamevuta
pia kunawatu uwezi jua kama wamevuta hata iweje
mfn : mi nna macho makubwa so nkiwa stimu washkaj walkua wanantania mtu aknipiga kofi la kichogoni macho yanaanguka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pia nlkua na dem m1 iv ye macho yake ni meupe mda wote awe stim au sober...
but kumjua mla ganja lazima na wewe uwe mbangebange lasivyo utawasingizia wasio husika
NB:nlkua navuta kama starehe tuu sikufundishwa na mtu nljipeleka mwenyewe kwa pusha from that time skuacha had 2014
MATENDO PEKEE HAYAWEZI KUMFANYA MVUTA NDUMU AJULIKANE!!
ila bange nzuri sana bonge 1la starehe kuna moments flanflan iv nazkumbuka
m mwenyewe nliacha sabab nili lose apetaite yan nlkua siez kula had nivute!! kwa office akuna mtu aliejua wala kudhaniIt's now ten years since I stopped, Kwanzaa kweli uvutaji wa marijuana ni rahisi kuacha so kama Sigara, think because haina nicotine addiction.
Sio rahisi kumgundua mla ganja Kama wewe sio mvutaji,kama ni mtu wa heshima zake ndio uwez mgundua kabisaa.
we use to go kwa pusher mmoja hivi, alikuwa na VIP smoking zone, no chumba chenye AC na bathroom nzuuri, basi tulikuwa tukifika pale, tunavua Makoti yetu tunyaacha kwenye gari unafika unakaa kwenye sofa safi, hapo utakutana na mzee flani mkuu wa idara flan, snr cops and soldiers, some times siniour government officials, hapo mnavuta kiustaarabu na yanaishia hapo hapo.
Ila sasa mvuta weed utamgundua tu kwa kula, yaani anakula extra ordinary.
Wale wanijiona wakivuta wapo New York, au Jamaica ni wale ambao ni ma idle, au wanavuta wakati kwenye ukoo wao hakuna hata mmoja anaevuta. Thanks God I stopped smoking weed the year 207,baada ya kuoa, kuna siku mke wangu aliniambia unakula Kama mvuta bange, from that day sijavuta tena hadi leo.
Mkuu umeona eehh! Thanks tumeacha kuvuta...m mwenyewe nliacha sabab nili lose apetaite yan nlkua siez kula had nivute!! kwa office akuna mtu aliejua wala kudhani
nlkua navuta nkitoka job napitia dompo langu1 nkifka kwa pusha ni mwendo wa mabolo tuu
ni sawa ila...kwasisi wachomaji unatupandisha steam tu kama mimi hapa mpaka nywele zimesisimka alafu huku nilipo nipo mbali na pusha sasa sijui ntalalaje leoMada bila picha.. Haifai au vipi wachomaji/waonjaji.
Mdomo mweusi
Ukifanikiwa kuona kinyesi chake basi huwa ni kingi sana hasa siku za mwanzo wa kuvuta, si cha binadamu wa kawaida.Teja anajulikana kwa uchovu usioisha.
Mlevi kwa harufu na kuyumba.
Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.
Hii ni kweli,nakubaliana na weweHaya ni madharaa kwasababu it makes your soul susceptible to evil spirits .....
In short any form of divination makes you a temporal host of bandwagon of evil spirits......
Teja anajulikana kwa uchovu usioisha.
Mlevi kwa harufu na kuyumba.
Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.