Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Acha tule vyetu..navuta mda sana lakini kwa kujitambua kuheshimu wanao nizunguka..
Hata mwenza wangu hajawahi niona hata kuhisi..
Sivuti na vichwa panzi wala machoko wala makunguru kitaa na sivuti kwa njaa
 
Alafu nimesahau swali uliouliza niko high sana nadhani, wapiga holy herb huwa ni wacheshi sana haswa anapotoka kipiga kitu pia appetite ya kula inakuwa iko juu sana wengine tunakuwa tupo active kwenye kila kitu
mimi huwa nakula chakula kingi sana nikishapiga weed,halafu huwa sipendi kujichanganya wala kuongeaa na mtu nikiwa high,huwa nakaaga gheto nashika pad nacheza video games hasa fifa na kama umeme umekatika natafuta sehemu nakaa natulia mwenyewe.
 
nikiwaga na kazi ngumu au kuna mtu kanitibua akili huwa napigaga weed kwanza halafu kinachofuta hapo....hili jani halijawai kuniangusha.
 
I use to smoke weed for 18year's

inabidi ukubali kua kuna watu unaeza kuwajua kama wamevuta

pia kunawatu uwezi jua kama wamevuta hata iweje

mfn : mi nna macho makubwa so nkiwa stimu washkaj walkua wanantania mtu aknipiga kofi la kichogoni macho yanaanguka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

pia nlkua na dem m1 iv ye macho yake ni meupe mda wote awe stim au sober...

but kumjua mla ganja lazima na wewe uwe mbangebange lasivyo utawasingizia wasio husika

NB:nlkua navuta kama starehe tuu sikufundishwa na mtu nljipeleka mwenyewe kwa pusha from that time skuacha had 2014

MATENDO PEKEE HAYAWEZI KUMFANYA MVUTA NDUMU AJULIKANE!!

ila bange nzuri sana bonge 1la starehe kuna moments flanflan iv nazkumbuka
It's now ten years since I stopped, Kwanzaa kweli uvutaji wa marijuana ni rahisi kuacha so kama Sigara, think because haina nicotine addiction.
Sio rahisi kumgundua mla ganja Kama wewe sio mvutaji,kama ni mtu wa heshima zake ndio uwez mgundua kabisaa.
we use to go kwa pusher mmoja hivi, alikuwa na VIP smoking zone, no chumba chenye AC na bathroom nzuuri, basi tulikuwa tukifika pale, tunavua Makoti yetu tunyaacha kwenye gari unafika unakaa kwenye sofa safi, hapo utakutana na mzee flani mkuu wa idara flan, snr cops and soldiers, some times siniour government officials, hapo mnavuta kiustaarabu na yanaishia hapo hapo.
Ila sasa mvuta weed utamgundua tu kwa kula, yaani anakula extra ordinary.
Wale wanijiona wakivuta wapo New York, au Jamaica ni wale ambao ni ma idle, au wanavuta wakati kwenye ukoo wao hakuna hata mmoja anaevuta. Thanks God I stopped smoking weed the year 207,baada ya kuoa, kuna siku mke wangu aliniambia unakula Kama mvuta bange, from that day sijavuta tena hadi leo.
 
m mwenyewe nliacha sabab nili lose apetaite yan nlkua siez kula had nivute!! kwa office akuna mtu aliejua wala kudhani
nlkua navuta nkitoka job napitia dompo langu1 nkifka kwa pusha ni mwendo wa mabolo tuu
 
Mada bila picha.. Haifai au vipi wachomaji/waonjaji.
 
Attachments

  • Screenshot_20171223-211836.png
    Screenshot_20171223-211836.png
    13.2 KB · Views: 55
m mwenyewe nliacha sabab nili lose apetaite yan nlkua siez kula had nivute!! kwa office akuna mtu aliejua wala kudhani
nlkua navuta nkitoka job napitia dompo langu1 nkifka kwa pusha ni mwendo wa mabolo tuu
Mkuu umeona eehh! Thanks tumeacha kuvuta...
 
Mada bila picha.. Haifai au vipi wachomaji/waonjaji.
ni sawa ila...kwasisi wachomaji unatupandisha steam tu kama mimi hapa mpaka nywele zimesisimka alafu huku nilipo nipo mbali na pusha sasa sijui ntalalaje leo
 
Mzee usihangaike sana. Angalia vidole vyake gumba na cha pili utaona unjano kwa mbaaaali, ukinusa hivyo vidole utakutana na harufu ya bange
 
Mdomo mweusi

Midomo kuwa meusi/kubabuka ni ukosefu wa MAJI ya kunywa ya kutosha kwa watumiaji...hata wasio

Pia macho mekundu sio dalili hasa ya smoker... sema tu ni kutokujua kwa wengi..

'nafahamu wavutaji wasio na macho mekundu,wala midomo meusi'

Kunyweni MAJI kama mamba na mtakuwa kama Ray Kigosi
 
Teja anajulikana kwa uchovu usioisha.

Mlevi kwa harufu na kuyumba.

Mtumiaji wa jani je?
Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana na visivyoonekana ama la kufungua jicho la tatu.
Ukifanikiwa kuona kinyesi chake basi huwa ni kingi sana hasa siku za mwanzo wa kuvuta, si cha binadamu wa kawaida.
 
Kubwa zaidi ni lips kubabuka na kuwa nyeusi zaidi. Tafuta picha za Uhuru Kenyatta utaona lips zilivyobabuka.

Back
Top Bottom