Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeh kwel ucnifanye nivute nikawehuka [emoji3] [emoji3] [emoji3]bange hange hange ila ni nzuli kwa migegedo buana we
Wale walikuwa wanakula unga.kama haina madhara Haruna Moshi Boban angekuwa bado yupo Ulaya na Feruzi angeshampita Diamond kwa mafanikio. Bange haiachi vijana wetu salama
Mi naomba kujua dawa ya kuondoa weusi kwenye lipsTetryzoline tafuta hiyo
Jambo zuri maana alikuwa na ukichaa na muhuni mmoja hiviKile kimeo kilichotukana usiku mzima kimeondoshwa kabisa
Madhara positive au negativeKufungua jicho la tatu ni moja ya madhara ya bangi kama unavyosema na imetumiwa na waaguzi tangia Delphi Ugiriki.........
Mkuu nime miss hilo kubwa kitu [HASHTAG]#Phantom[/HASHTAG][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]nani anataka hii kitu![]()
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu nime miss hilo kubwa kitu [HASHTAG]#Phantom[/HASHTAG][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Unaweza kuvuta afu ukawa unajiogopa mwenyewe kwa stimu za kulanduka mmea sio kitu cha mchezo mchezo na ukiw na akili kizibo waweza piga mwano ukisha smookkwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ganja inavisa hataree [emoji16][emoji16]