The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Hawataki kuzitoa wanadai bado ziko in a classified periodDah sasa jamaa baada ya miaka 18 upwiru wote ushakata.
Ila mataifa ya wenzetu yana historia ndefu sana, leo 2026 tunasoma mambo yao makubwa ya miaka 80, 70 kurudi nyuma! Natamani nisome makala kama hizi za kwetu pia!