The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Hawataki kuzitoa wanadai bado ziko in a classified periodDah sasa jamaa baada ya miaka 18 upwiru wote ushakata.
Ila mataifa ya wenzetu yana historia ndefu sana, leo 2026 tunasoma mambo yao makubwa ya miaka 80, 70 kurudi nyuma! Natamani nisome makala kama hizi za kwetu pia!
hunaga story mbovu mkuuView attachment 3517289
Sehemu ya gazeti lilioripoti hii habari ya Dimona institute 2
Aiseee...Hawataki kuzitoa wanadai bado ziko in a classified period
Tuishi nayo kwa makini ππMbunye ina hatari π
Haswaaa
Cindy Bibiee..,Alikuwa Bomba Kishenzii..!!
Bwana John Crossman Anayo Haki Ya Kukamatwa Asee
Umenena kwa busara.Tuishi nayo kwa makini ππ