Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Pesa mwenzake ni matumiziNitakapoweza kumudu bando lisilo na kikomo, nitajihesabia mimi ni tajiri.
Utamu wa pesa ni kuinjoi maisha na wapendwa wako Mkuu.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Utamu wa pesa ni mwingi mkuu..Sasa, kwako utamu wa pesa nini?
Swali; Je, wote wenye hela wanafurahia au wanautumia uhuru huo?Utamu wa pesa ni mwingi mkuu..
° Unaishi sehemu unataka
° Unakula aina ya msosi unaojisikia kula
° Unakula pisi unayotaka
° Unatumia usafiri unaopenda
° Unakuwa huru kwenda popote unapopenda
° Nk, nk..
° Kwa kifupi, pesa inakupa uhuru wa kuishi utakavyo ili mradi huvunji sheria
View attachment 2835564
Inategemea alivyozipata.Swali; Je, wote wenye hela wanafurahia au wanautumia uhuru huo?
Inawezekana, kwa sababu wengine zaidi ya mijengo, biashara, na magari walionayo, sijaona furaha yoyote walionayo.Inategemea alivyozipata.
Wanasema kuna zingine zina masharti !!
Kuwa na pesa maana yake inatakiwa ikupe uhuru kwa yale mahitaji yote ya msingi ya kiumbe hai, na ziada:-Tuanze na wewe mkuu ,utamu wa pesa kwako ni nini?
Wengi walio kwenye kipato cha kati ndio wanaofurahia maisha kuliko wale wenye vipato vikubwa zaidi.Pesa zisiwe nyingii saana.. wala zisiwe chache..
Kuna raha fulani hivi ukiwa na hela kiwango cha kati.
Kina nani hao wanaosema?Inategemea alivyozipata.
Wanasema kuna zingine zina masharti !!
Inategemea, kama wewe kutoa inakupa furaha ya asilimia 200%; ni vizuri kufanya hivyoUtamu wa pesa ni kujihudumia mambo/mahitaji ambayo wewe mmiliki wa hizo hela unayapenda na una enjoy,
Utamu zaidi wa hela ni kusaidia watu wasio jiweza,ukimsaidia mtu basi nafsi yako inakua na amani ya ajabu sana na una relax.