Utamu wa picha, macho yako

Utamu wa picha, macho yako

View attachment 1594475

Shilingi mia mbili enzi za Jakaya Mrisho Kikwete akiwa waziri wa fedha na Rashid akiwa gavana wa benki kuu
Hii hela imenipigisha sana hii. Utoto bana! Ilikuwa kila nikitumwa dukani mimi nakoncetrate kwenye kumbandua chui na mwanawe!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
FB_IMG_16018675246945846.jpg
 
Back
Top Bottom